Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Point ya lema ni kwamba tumefikishwa kwenye uchumi huu kibodaboda na kimachinga na CCM iliyofuja Taifa na kukosa dira kwa miaka sitini.
 

Kukosekana kwa strategic plan yenye action plan inayofahamika na mpanga mikakati mkuu anayeeleweka, ni tatizo kubwa litakaloendelea kuigharimu CDM kwa muda mrefu.

Baada ya mzuka wa mapokezi Katiba mpya Inapaswa kuwa kipaumbele. Nini, lini, wapi na nani anasema ni lazima viwe vimeratibiwa kimkakati siyo kuwa kwa ajali.

Cc: Proved, JokaKuu denooJ Kalamu Kinyungu
 
Mkuu umemchana makavu.
 
Hapa lema amechemsha bigtime,


Hizi kazi zipo mpaka ulaya, sema zimekuwa standardised tu, wanavaa vikoti vzr, wanaheshimu sheria za barabaran nakadhalika,

Wao badala ya kudeliver watu, wao wanadeliver packages, misosi, n.k


Kwa kifupi huwezi ondoa bodaboda, baiskeli za kuchaji, kwa sababu zinafikisha bishaa mpaka mlaji alipo,

We only need to package it better, wavae vzr, waheshimu sheria za barabaran, wahimizwe wapunguze/kuacha ulevi, bangi, madadapoa.

Wakifanya hivo watakuwa watu wenye heshima zao na kazi itafanyika kwa weledi kuliko ilivo sasa
 
Sahihi kabisa mkuu, umewasilisha mawazo yangu na maisha ya kweli ya mataifa makubwa ya nje nayo ya fahamu namna shughuli hizi zinavyo fanya kazi.
 
Mwenye shibe hamjui mwenye njaa
 
Kwamba new York kuna Bodaboda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Jamaa hajajifunza kuchagua maneno ya kuongea... Kinachomjia akilini anakitoa hapo hapo
 
Lema akili hana nimemuona mshamba sana kama kila jambo anajifanya amelibaini baada ya kufika Canada

USSR
Sometimes najiuliza hivi ndio ilikuwa mara ya kwanza kwa Lema kwenda nchi yoyote western? Hapo kaenda Canada, je angeenda Uswis? Uswiss medical graduates wanapata changamoto wachague kufanya kazi mjini ambako mshahara "mdogo" (CHF 7500.equivalent to Tsh 15 M za kibongo) au "kijijini" ambako hakuna fun life but mshahara ni mkubwa zaidi around CHF 9000 (hiyo ni 18 M na ushee!).
 
Bora anyamazage tu, hata mpumbavu huonekana mwenye busara akikaa kimya. Wamepoteza dira wamebakia kuropokwa tu.
 
Suluhisho ni uboreshaji na viwanda vikivyokufa na kuvifufua na kujenga vipya, nchi yeyote yenye maendeleo kuliko Tanzania inaviwanda vingi
 
Bora zisafirishe bidhaa, lakini zisafirishe watu. Daladala na tax zipo, hizi ndizo za kubeba abiria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…