Hapo vip!
Leo nimemsikiliza Lema akiwa kwenye mikutano ya chadema huko simanjiro.
Huyu jamaa,ni mtu anayeamini chochote anachokiongea yupo sahihi..ni ishira ya IQ ndogo.
Cha ajabu na kushangaza utaona wananchi,ambao ni watazania wenzetu wakishangilia kwa upuuzi anaongea jukwaani,apo utafahamu yakwamba watanzania wengi wanafikiria under average line (wengi hawana uwezo wa kureasons)ni wapokeaji kama washabiki wa simba na yanga...ndio mahali anapo patia loophole ya kudanganya.
Leo nimemsikia akiropoka huko simanjiro akisema Laizer pesa aliyo uzia Tanzanite ina thamani ya cheni ya Beyonce(cha ajabu hata biyonce hamjui Lema na Lema haja wahi kushika kiuno cha biyonce..sasa sijui thamani ya hiyo pete amepata wap? au alimvua Biyonce akenda kupima kwa sonara nini?)..idiot and poorest Lema....hivi ajue thamani ya pesa ya Tanzania ipo chini kuliko dola ya marekani..aliyosababisha kushuka kwa thamani ni laizer?au yeye ameshindwa kutoa mchango chanya kwa serikali namna ya kupandisha shilingi..?
Ajue Laizer hajawahi kutegemea pesa za serikali na wazungu kama yeye anavyofanya,Lema anategemea mishahara,posho na kugikombabkomba kwa wazungu ndio aweze kubadilisha maisha.
Laizer ni mwekezaji,mjasiriamali na mfanya biashara anailipa serikali pesa za kumlipa Lema..kuwa na adabu Lema.
Lema ajui Levels na tafouti za hatua za kimaendeleo baina za mataifa..ndio maana anaweza kujenga hoja pasipo kujua taofauti ya nataifa katika ulimwengu huu,ana kuhukumu wa wekenzaji walio ekeza katika ulimwengu wa tatu wakati biyonce yupo kwenye taifa lililopo ulimwengu wa kwanza..tatizo la elimu
Laizer ni ukoo wa kitajiri toke enzi na enzi..(hawapendi pesi kama wachagga pesa ndio zinawapenda ndio maana kutoa msaada sio kitu kikubwa kwao)nasema haya kwasababu amekuwa akimuongelea Laizer kihuni wakati Laizer sio muhuni na hana haja na siasa zake za kimasikini.
Lema ni much know wa upumbavu,anasema Ole sendeka ni mshamba,tukumbuka yakwamba tokea hayati Magufuli alipo chukua hatua alipo
na mikakati ya kuhakikisha Tanzanite inanufaisha Tanzania alifanikiwa kwa kiwangi cha juu mpaka Tanzania ikatambulika kipindi cha Magufuli yakwamba ndio inchi ianayozalisha Tanzanite Dunia,wakati kabla ya Mugufuli Kenya ndio ilikuwa Taifa linatambulika kama mmiliki wa Tanzanite Duniani .Tukumbuke moja ya mikakati Magufulia aliochukua kufikia hapo ni pamoja na kuzungusha ukuta mererani...Lema tumtafsiri,ya kwamba baada ya ukuta deal zake chafu zimefeil..shame Lema.
Namuona Lema ni mtu anayeongea kwa hisia pasipi kushirikisha akili..wanxwaxke ndio wanaongea kwa hisia.
Pia ujue Olesendeka anatokea kwenye familia ya kitajiri tofauti na wewe,ngo'ombe unazomuambia akachunge theluthi zinatahamani kuliko mafanikio uliopata tokea ukiwa mbunge..kumbuka ulikuwa na maisha magumua sana kabla ya kuwa mbunge..shane Lema
Nakushauri uache siasa cheap kwasababu huwa zinayeyuka kama povu la sabuni