Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Unapenda kuendesha bodaboda ukiwa umekumbatiwa kwa nyuma na mtu mwenye nyege anayewahi guest kwenda kupiga shoo eti eeh?
 
Bodaboda ni mateja , msikilize vizuri.

Your browser is not able to display this video.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unapenda kuendesha bodaboda ukiwa umekumbatiwa kwa nyuma na mtu mwenye nyege anayewahi guest kwenda kupiga shoo eti eeh?
 
LEMA toka arejee toka canada amekuja na mambo mapya ambayo ni
1: Watu ni washamba
2: Watu ni maskini
3: Boda boda ni Laana
4: Vikoba mke wangu hawezi shiriki
5: Ugali ni chakula cha Maskini
6: Mimi ni Mchagga
 
LEMA toka arejee toka canada amekuja na mambo mapya ambayo ni
1: Watu ni washamba
2: Watu ni maskini
3: Boda boda ni Laana
4: Vikoba mke wangu hawezi shiriki
5: Ugali ni chakula cha Maskini
6: Mimi ni Mchagga
Ngoja nicheke kidogo😀😀..Lema atabia kama watu wa mikoani waliofika dar miaka ya themanini..ndio anatuletea
 
Hoja yako ni ipi hapa, umeongea kwa kupanick vibaya sana, hata sentensi zako zimekuwa za kujichanganya.
 
Bodaboda ni mateja , msikilize vizuri.


Mods naomba umsiifute maana Lema kashambuliwa kwa kusema yaliyo kweli
Siyo wote kuna watu na heshima zao wanafanya kazi ya bodaboda kwa kufuata taratibu, kila kazi inawehu wake, hata maofisini kuna wehu vilevile, si unaona mtu badala ya kupasua kichwa kapasua mguu?? Ila hatuwez kugeneralize kua madaktari wote wehu atwngue kauli!!
 
Miaka 2 imepita Lema akiwa nje ya Tanzania. Yeye anaishi kule kwa jasho na kodi za wanaume wa Canada. Hawezi kuwa na akili nzuri hata kidogo. Kiukweli amekubali utumwa wa kisaikolojia. Na utumwa huu ni mbaya kuliko ule wa minyororo ambao babu zetu walifungwa na kuuzwa kupitia Bagamoyo hadi soko la Zanzibar.

Hivi inakuja akilini kuwafharau Bodaboda wanaotengeneza hela yao kwa jasho Lao wenyewe wakati yeye analishwa bure Canada?
 
Taarifa zilizopo humu jf lema ni muizi wa magari ila ni mh.mbunge

So Ana Past.

Jamaa Ni A R Chugga Mmoja Tu
 
Unapowashambulia Bodaboda na Vicoba kuna mambo ya maendeleo unayakwamisha

Ni vema Chadema wakaitumia Vizuri hii ruhusa iliyotolewa na Rais Samia ya vyama vya siasa kufanya mikutano

Mlale Unono!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…