Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani alijua Lugemalila atatoka jela?Acha tuu Yani hii Dunia Kweli Mungu hanywi uji!?? Miaka kadhaa iliyopita
Nani alijua Sabaya atakuwa jela!?
Nani alijua Makonda atajificha!?
Nani alijua musiba atapotea!?
Nani alijua bwana yule hatakuwepo!?
Nani alijua lisu atarudi nyumbani kwao ( Tz)
Ana alijua doto James atakoka hazina?
Nani alijua chato haitakuwa mkoa tena!?
Aisee heshimini watu sponsor hufa!!!
WAkati wa Mfalme Sauli watu walisema hivi, Saul aliua makumi elfu ila Daudi kaua Mamia elfu. Sauli alichukia sanaYani Lema anapokelewa kifalme Arusha Sabaya yuko Gerezani?
Maisha yanaenda kasi sana tutende wema jamani maisha yetu ni Mafupi.
Hongera sana Rais Samia kwa kutufundisha kwa Vitendo ubinadamu na upendo.
Maisha yako yatakuwa ya amani sana baada ya kumaliza kipindi chako.
Dunii hii tutembee pole pole. Inapita*Nani alijua Happi atakuwa analima nyanya muda huu?
*Nani alijua Polepole angekuwa katupwa Malawi?
*Nani alijua Dr. Bashiru angekuwa mbunge wa huruma ya rais badala ya Katibu mkuu kiongozi?
*Nani alijua Ndugai angekuwa kama mama wa nyumbani ?
*Nani alijua Mungu wa sukuma gang angekuwa anasutwa na kuzodolewa na kila matanzania?
Sabaya ni mfirwa mwanawaneYani Lema anapokelewa kifalme Arusha Sabaya yuko Gerezani?
Maisha yanaenda kasi sana tutende wema jamani maisha yetu ni Mafupi.
Hongera sana Rais Samia kwa kutufundisha kwa Vitendo ubinadamu na upendo.
Maisha yako yatakuwa ya amani sana baada ya kumaliza kipindi chako.
Hii bwana inatafakarishaAcha tuu Yani hii Dunia Kweli Mungu hanywi uji!?? Miaka kadhaa iliyopita
Nani alijua Sabaya atakuwa jela!?
Nani alijua Makonda atajificha!?
Nani alijua musiba atapotea!?
Nani alijua bwana yule hatakuwepo!?
Nani alijua lisu atarudi nyumbani kwao ( Tz)
Ana alijua doto James atakoka hazina?
Nani alijua chato haitakuwa mkoa tena!?
Aisee heshimini watu sponsor hufa!!!
Kweli mkuu. Jiwe alikuwa anatamka maneno ya makufuru utadhani nchi hii kaiumba yeyeDunii hii tutembee pole pole. Inapita