Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Misukule bado haijaamka na kulamba ungaSubiri misukule ya marehemu ije!
🤣🤣🤣✌✌✌❤❤❤Yaani polisi wote waliokuwa wanasema Chadema mtapata tabu sana mkiandamana Leo hii ndo wanafurahia maandamano ya chadema na kuyapa ulinzi mkali [emoji23][emoji23][emoji23]
Well Noted Mkuu...Ni kweli uyu mama ni muumini wa kweli na ana hofu ya Mungu. Katika nchi zinazoendelea ni viongozi wachache aina ya uongozi wake.
Kwani cha ajabu ni nini hapo??Yani Lema anapokelewa kifalme Arusha Sabaya yuko Gerezani?
Maisha yanaenda kasi sana tutende wema jamani maisha yetu ni Mafupi.
Hongera sana Rais Samia kwa kutufundisha kwa Vitendo ubinadamu na upendo.
Maisha yako yatakuwa ya amani sana baada ya kumaliza kipindi chako.
Mimi sio bodaboda Ila nawaheshimu sana maana wapo watu wazima wenye familia na wanasomesha Watoto kwa kazi hiyoWewe ni bodaboda?
Kwa kuwa yeye analelewa bure huko? Unajua anachotoa?Dozi moja ya kisoda chawa na kunguni wanatapatapa...nchi nzima...ingekuwa lita 5?
We hujitambui na haujui ugumu wa hiyo kaziMimi sio bodaboda Ila nawaheshimu sana maana wapo watu wazima wenye familia na wanasomesha Watoto kwa kazi hiyo
Lema aache dharau sio kila mtu anaweza kuwa mwizi wa magariKwahiyo unataka tukusaidie nini?
Lema yeye anafanya kazi gani huko Canada? Angeeleza kazi yake kwanza ndio azungumzie za wengine. Sio wote wanapenda kulelewaWatanzania wengi wakiambiwa ukweli wanaona wanatukanwa.
Unaweza kuwakuta watu wapo karibu na choo, pananuka mavi, ukawaambia hapa mlipokaa pananuka mavi.
Wengi wao (sio wote) badala ya kuchukua maneno yako na kuyafanyia kazi, watalalamika umewatukana.