Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Logical non sequitur.

Watanzania wengi huona lawama hata pale ambapo hapana lawama.

Ndivyo hivyo mtu anaambiwa hapa pananuka mavi, anaona kalaumiwa kwamba yeye mchafu.

Wakati inawezekana yeye hana lawama kwa sababu ile harufu kashaizoea na hajui kwamba ipo.
Systemic failure
Afu mnakuja kulaumu watoto wa watu fighting for their lives js to survive

Amefanya nini kubadili hilo?
 
Kwanini nisiamini?. Mungu tu ndio mwenye mamlaka ya kuzuia CHADEMA kuchukua nchi.
Aahh Kumbe unaelewa Kuna Mungu? Basi ni Mungu aliyeamua JPM kua na Rais, na kulipitisha Taifa katika kipindi kigumu ambacho Dunia yote imebaki inakoswa Jibu, huyu Mwamba aliwezaje.
 
Jiwe alisimama yeye kama yeye na roho yake ya kihutu. Usijifiche kwenye chaka la chama.

Kama chama kinahusika inakuwaje hivi sasa mambo ni shwari, kwani ccm imekufa?
Ni mjinga tu kama wewe anayeweza kuamini ujinga wako,
 
Takataka ni Mama yako !!.


Mlizoea Maisha ya kuunga unga na ujanja ujanja na Undugu mwingi ,JPM akapiga Pini.


Mkahangaika miaka mitano , mirija yote imezibwa.


Mlivyo wapuuzi , Huduma nyingi zakijamii mnazifurahia Sasa ambazo ni JPM ndio kaziacha.
Mamaako bora angetoa hiyo mimba yako,amezaa uchafu
Mamaako ni kubwa la matakataka na kazaa takataka
 
Wewe chawa wa Magufuli utaona zuri la Upinzani. Magufuli ameingia madarakani 2015, kazuia Upinzani usifanye siasa kwa miaka saba. Ni juzi hapa ndipo Upinzani umeruhusiwa kufanya siasa. Ulitakaje? Uchaguzi wameibiwa, Viongozi wao wanashambuliwa na riasasi, wengine kuuawa, ulitakaje? Tuache unafiki wa kijinga wa kuongea vitu tusivyovijua.
Uchaguzi ukiisha na shughuli za kisiasa ,mikutano ,maandamo yasikua na Msingi nayo huisha inabaki kazi ya kujenga nchi.


Kikwete akiwachekea sana akajikita analazimika kuwaita ikulu Kila Mara .

Ni katika kipindi Cha Kikwete pekee, ndipo Wapinzani waliungana na Mafisafi kula na kugawana Pesa za Wananchi

Mfano mzuri Pesa zile walogawana kwenye masandarusi.


Bado unasema Kuna Upinzani??
 
Lema amewatukana vijana Waliojiajiri kwa kuwaambia wanafanya kazi za laana, hii suala limeacha simanzi kwa vijana wengi sana.

Jana nilikua Arusha nimezunguka sehemu mbalimbali kuona wamepokeaje kauli hii yenye dharau kubwa sana. Hakika walio wengi wanajuta kwa Nini walienda Kumpokea Lema.

Serikali inapambana usiku na mchana ili vijana wapate ajira na wajiajiri alafu leo lema anakuja kuwatukana?

Lema anapaswa kuomba radhi kwa kauli hii. Yeye kwa kuwa anakula na kulala bure kule canada basi anataka watu wote waishi hivyo kitu ambacho hakiwezekani. Imeandikwa kwenye vitabu takatifu kuwa mwanaume atakula kwa jasho, wewe inakuaje unakula bure alafu unaleta dharau kwa wanaokula kwa jasho?

Lema anapaswa kuomba radhi mara moja kwa kauli hii.
Machawa kazini usishangae.
 
Mheshimiwa Godbless Lema anachokisema kuhusu bodaboda kina ukweli wa asilimia 90, bodaboda wengi wamekata tamaa ya maisha na hata ukiwaangalia wengi wao unaona kabisa hawana option B zaidi ya kuendesha bodaboda.

Moja ya dalili kuonesha kuwa bodaboda wengi wamekata tamaa ya maisha ni style yao ya uendeshaji wa hizo bodaboda wengi wao hawajali wanaendesha kwa mwendo kasi hata sehemu za hatari.

Yaani wana base na ule msemo wa liwalo na liwe kweli, bodaboda ni kazi ya laana wengi wao wanaofanya hii kazi hawana option.
 
Hv kweli umeishi Canada miaka yote hiyo, Leo unarudi bongo baada ya kazi uliyopata huko ya mkataba kuisha na sasa huna kazi ya kufanya unaitisha mkutano. Unasumbua watu wenye akili zao waache kusaka noti wakasomeshe watoto wao, unatumia masaa 2 kulalamika kuwa ulitaka kuuawa.

Wewe una impact gan had wakuue? Umeona huna agenda ya kuwaaambia wananchi zaidi ya kulalamika kuwa ulitaka kuuawa ili wananchi wakuonee huruma, siasa za kijinga kabisa.

Haya sasa umerudi fanya siasa kaka lema.
Magufuli blood sucker
 
Magufuli alikuwa muuaji hilo sasa ni wazi.
 
Tukubali JPM alitumia dola kupambana na CHADEMA, bila kujua akifa CHADEMA watamshughulikia.
Kwa hiyo CHADEMA wanapomshambulia JPM wanapata faida gani
Nipe faida wanazopata chadema?
 
Mnajaza ujinga tuu , CDM ni Chama au Kikundi Cha wahuni tu.


Shukuruni kwamba, Kwa Sasa Kuna idadi kubwa ya Watanzania wenye kufurahia mambo ya hovyooo na hao ndio mtaji wenu.
Hao hao hata Jpm alikuwa anapendwa na wajinga
 
kWA HIYO cHAMA KILISHINDWA KUMSIMAMIA MWAKILISHI WAKE?..

Je wakati jiwe kazuia mikutano ya kisiasa , chama kilimsapoti au kumkataa...
Msichoelewa ni kuwa dhana ya Zidumu fikra za mwenyekiti ipo hai ndani ya CCM
Fikra za Samia ni 4 Rs. Na kwakuwa umesema wanachama huasooti fikra za mwenyekiti basi tarajia amani na upendo kutamalaki
 
Haihitaji akili kubwa sana kutambua kwa sasa hatuna upinzani wote waliopo ni CCM tu nipo nasubiria kwa hamu UMOJA PARTY IANZISHWE.
 
Back
Top Bottom