Arusha yatajwa miongoni mwa majiji 10 bora duniani kwa huduma za kitalii

Arusha yatajwa miongoni mwa majiji 10 bora duniani kwa huduma za kitalii

Jesusie

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2021
Posts
1,466
Reaction score
766

photo_2022-02-18_04-01-20.jpg

Tovuti maarufu zaidi duniani ya CNN Travel imechapisha na kulitaji jiji la Arusha toka Tanzania kuwa ni miongoni mwa Majiji kumi tu ( 10 ) duniani yanayoboresha zaidi huduma za kitali mwaka baada ya mwaka,​

CNN-Travel imezitaja huduma hizo kuwa ni pamoja na Mwongozo au Waongoza Watalii pamoja na huduma nzuri za kijamii kama Hotel, Chakula na mengineyo,

Haya yote yanajiri ikiwa ni kabla ya uzinduzi wa filamu mpya ya " The Royal Tour " inayotarajiwa kuzinduliwa tarehe 22 April 2022,​

Hongera Watanzania,Hongera wana-Arusha,Hongera Rais Samia Suluhu Hassan na Viongozi wote waliosaidia kuitaja Tanzania Kimataifa, Tanzania tuko vizuri Sana Tuendelee kufanya kazi kwa bidii na kumtanguliza Mungu mbele.
===

Top 10 trending destinations in the world​

Tourists sunbathe at Palma Beach in Palma de Mallorca on June 7, 2021

Mallorca (also spelled Majorca) is the No. 1 trending travel spot for 2022. Here, tourists enjoy Palma Beach.
JAIME REINA/AFP via Getty Images

The trending destinations category is for the locations that showed the greatest year-over-year increase in a combination of positive Tripadvisor traveler reviews and ratings for accommodations, restaurants and things to do.

These are the top 10:

1. Mallorca, Spain
2. Cairo, Egypt
3. Rhodes, Greece
4. Tulum, Mexico
5. Dubrovnik, Croatia
6. Ibiza, Spain
7. Natal, Brazil
8. Arusha, Tanzania √
9. Göreme, Turkey
10. Santorini, Greece

Source: CNN
 
Sio kupenda kwake Arusha kuwa hivyo, asili ndio imeamua iwe hivyo. Asante Arusha park, Tarangire, Manyara, na vivutio vyote karibu yake ikiwemo Mt. Kilimanjaro, Serengeti, ngorongoro n.k … ingekuwa ajabu kama ingekuwa kinyume chake licha ya madubwasha yote hayo na mengine mengi

Imagine Oldupai gorge, Mt. Meru ndani, Ol Doinyo Lengai ndani, Maasai tribe ndani aiseee …
 
View attachment 2090168

Tovuti maarufu zaidi duniani ya CNN imelitaji jiji la Arusha toka Tanzania kuwa ni miongoni mwa Majiji kumi ( 10 ) duniani yanayoboresha zaidi huduma za kitali mwaka baada ya mwaka,​

CNN imezitaja huduma hizo kuwa ni pamoja na Mwongozo au Waongoza Watalii pamoja na huduma nzuri za kijamii kama Hotel, Chakula na mengineyo,

Haya yote yanajiri ikiwa ni kabla ya uzinduzi wa filamu mpya ya "The Royal Tour " inayotarajiwa kuzinduliwa tarehe 22 April 2022,​

Hongera wana-Arusha,Hongera Rais Samia Suluhu Hassan na Viongozi wote waliosaidia kuitaja Tanzania Kimataifa, Tanzania tuko vizuri Sana Tuendelee kufanya kazi kwa bidii na kumtanguliza Mungu mbele,

Link ya hiyo taarifa tafadhali
 
Sio kupenda kwake Arusha kuwa hivyo, asili ndio imeamua iwe hivyo. Asante Arusha park, Tarangire, Manyara, na vivutio vyote karibu yake ikiwemo Mt. Kilimanjaro, Serengeti, ngorongoro n.k … ingekuwa ajabu kama ingekuwa kinyume chake licha ya madubwasha yote hayo na mengine mengi

Imagine Oldupai gorge, Mt. Meru ndani, Ol Doinyo Lengai ndani, Maasai tribe ndani aiseee …
Yap
 
Pongezi kwa chifu hangaya kuwezesha jiji hilo ila HAKUNA MAPATO KUTOKANA NA HUO UTALII..... ujinga mtupu huu kusifia sifuri.
 
View attachment 2090168

Tovuti maarufu zaidi duniani ya CNN Travel imelitaji jiji la Arusha toka Tanzania kuwa ni miongoni mwa Majiji kumi tu ( 10 ) duniani yanayoboresha zaidi huduma za kitali mwaka baada ya mwaka,​

CNN-Travel imezitaja huduma hizo kuwa ni pamoja na Mwongozo au Waongoza Watalii pamoja na huduma nzuri za kijamii kama Hotel, Chakula na mengineyo,

Haya yote yanajiri ikiwa ni kabla ya uzinduzi wa filamu mpya ya " The Royal Tour " inayotarajiwa kuzinduliwa tarehe 22 April 2022,​

Hongera wana-Arusha,Hongera Rais Samia Suluhu Hassan na Viongozi wote waliosaidia kuitaja Tanzania Kimataifa, Tanzania tuko vizuri Sana Tuendelee kufanya kazi kwa bidii na kumtanguliza Mungu mbele,

Sijaona Arusha kwenye hiyo link.

Top 10 most popular destinations in the world​

These are Tripadvisor's highest-rated, most-loved overall places for 2022:
1. Dubai, United Arab Emirates
2. London, United Kingdom
3. Cancún, Mexico
4. Bali, Indonesia
5. Crete, Greece
6. Rome, Italy
7. Cabo San Lucas, Mexico
8. Istanbul, Turkey
9. Paris, France
10. Hurghada, Egypt
 
Soma mpaka mwisho acha Papara Mkuu
 
Soma mpaka mwisho acha Papara Mkuu
Sawa nimeona kuwa ni “one of the most trending destinations” kwa mujibu wa “trip advisor’s reviews”

Na wewe ungeandika bila papara. CNN wao wameripoti tu. Siyo kwa mujibu wa CNN hapo umepotosha.
 
Kwenye hii habari mbona Arusha hakuna?

Yaani chawa mmekua sasa watu wa kuokoteza story tu.
 
Sawa nimeona kuwa ni “one of the most trending destinations” kwa mujibu wa “trip advisor’s reviews”

Na wewe ungeandika bila papara. CNN wao wameripoti tu. Siyo kwa mujibu wa CNN hapo umepotosha.
Sawa kama umeiona, Tuendelee kupongezana kama Taifa,
 
Arusha iko juu sana aise,
sasa hapo mbona hata USA haipo ina maana Arusha ni zaidi ya USA? wamezungumzia utalii hawajazungumzia kitu kingine hapo! angalia na hii rekodi nyingine sasa Arusha ya ngapi?
Screenshot_20220120-133817.jpg
 
Back
Top Bottom