Ripoti ya nini mkuu?sasa hapo mbona hata USA haipo ina maana Arusha ni zaidi ya USA? wamezungumzia utalii hawajazungumzia kitu kingine hapo! angalia na hii rekodi nyingine sasa Arusha ya ngapi?View attachment 2090496
Hapa naona majirani zetu hawapo kwenye list...Tovuti maarufu zaidi duniani ya CNN Travel imelitaji jiji la Arusha toka Tanzania kuwa ni miongoni mwa Majiji kumi tu ( 10 ) duniani yanayoboresha zaidi huduma za kitali mwaka baada ya mwaka,
CNN-Travel imezitaja huduma hizo kuwa ni pamoja na Mwongozo au Waongoza Watalii pamoja na huduma nzuri za kijamii kama Hotel, Chakula na mengineyo,
Haya yote yanajiri ikiwa ni kabla ya uzinduzi wa filamu mpya ya " The Royal Tour " inayotarajiwa kuzinduliwa tarehe 22 April 2022,
Hongera wana-Arusha,Hongera Rais Samia Suluhu Hassan na Viongozi wote waliosaidia kuitaja Tanzania Kimataifa, Tanzania tuko vizuri Sana Tuendelee kufanya kazi kwa bidii na kumtanguliza Mungu mbele.
===
Top 10 trending destinations in the world
Mallorca (also spelled Majorca) is the No. 1 trending travel spot for 2022. Here, tourists enjoy Palma Beach.
JAIME REINA/AFP via Getty Images
The trending destinations category is for the locations that showed the greatest year-over-year increase in a combination of positive Tripadvisor traveler reviews and ratings for accommodations, restaurants and things to do. These are the top 10:
1. Mallorca, Spain
2. Cairo, Egypt
3. Rhodes, Greece
4. Tulum, Mexico
5. Dubrovnik, Croatia
6. Ibiza, Spain
7. Natal, Brazil
8. Arusha, Tanzania
9. Göreme, Turkey
10. Santorini, Greece
Source: CNN
Kopi kwa ndugu MK254 .Tovuti maarufu zaidi duniani ya CNN Travel imelitaji jiji la Arusha toka Tanzania kuwa ni miongoni mwa Majiji kumi tu ( 10 ) duniani yanayoboresha zaidi huduma za kitali mwaka baada ya mwaka,
CNN-Travel imezitaja huduma hizo kuwa ni pamoja na Mwongozo au Waongoza Watalii pamoja na huduma nzuri za kijamii kama Hotel, Chakula na mengineyo,
Haya yote yanajiri ikiwa ni kabla ya uzinduzi wa filamu mpya ya " The Royal Tour " inayotarajiwa kuzinduliwa tarehe 22 April 2022,
Hongera wana-Arusha,Hongera Rais Samia Suluhu Hassan na Viongozi wote waliosaidia kuitaja Tanzania Kimataifa, Tanzania tuko vizuri Sana Tuendelee kufanya kazi kwa bidii na kumtanguliza Mungu mbele.
===
Top 10 trending destinations in the world
Mallorca (also spelled Majorca) is the No. 1 trending travel spot for 2022. Here, tourists enjoy Palma Beach.
JAIME REINA/AFP via Getty Images
The trending destinations category is for the locations that showed the greatest year-over-year increase in a combination of positive Tripadvisor traveler reviews and ratings for accommodations, restaurants and things to do. These are the top 10:
1. Mallorca, Spain
2. Cairo, Egypt
3. Rhodes, Greece
4. Tulum, Mexico
5. Dubrovnik, Croatia
6. Ibiza, Spain
7. Natal, Brazil
8. Arusha, Tanzania
9. Göreme, Turkey
10. Santorini, Greece
Source: CNN
😀😀Arusha napapenda, nimekula bata sana pale na watu wake wako na kautafauti fulani, wamechangamka.
Mengine tunayaacha mkapambanie huku Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A" Town u Chuga)
sema aangalie asije toa nje au akapiga boko.. 😎😎Anaupiga sana tu
Sasa pamoja na Yote ila Arusha haiifikii MwanzaArusha napapenda, nimekula bata sana pale na watu wake wako na kautafauti fulani, wamechangamka.
Mengine tunayaacha mkapambanie huku Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A" Town u Chuga)
Au sindio.Sasa pamoja na Yote ila Arusha haiifikii Mwanza
Hahaa ni Takwimu hizo siyo mimiAu sindio.
Takwimu ambazo Mwanza itaizidi Arusha ni idadi ya wasukuma, sangara na mawe tu.Hahaa ni Takwimu hizo siyo mimi
Kwenye apartments hata Wabongo wenyewe huwa wanakubali kwamba tumewapiga.
Hii hapa Pangani apartments
View attachment 2092300
Cc Shebby01 Sama boy 255