ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

Shida yote yanin hyo...unakosa jero ya ndom kumaliza kero yote hyo..usile mate..etc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungekuwa wali maharagwe tungeacha kula, tatizo ni lile jotoo tuuu pale katii
 
Duu kama upo vitani???
 
Shida yote yanin hyo...unakosa jero ya ndom kumaliza kero yote hyo..usile mate..etc

Sent using Jamii Forums mobile app
AHAAA pale unapofikiria kwamba damu ni uhai dah hapana, sisi wazee wa forex kuna kitu kinaitwa risk reward ratio, yaani nitumie ndom nirisk damu yangu kwa reward ya utamu tena wa masaaa tu, dah hapanaa, afya ndo tiketi ya kwanza ya kuishi duniani kwa furaha
 
Dah!!!natamani ningekujua ningekupeleka ctc nikalamba elfu 20.Maana hiv positive ni deal sasa.[emoji1]
 
ARV zikikutaa Lazima ujutee
Tena kujuta siyo ya pole pole kuna wale wanaota ndoto za kupaa na kuona giza eti kama kaburi[emoji23] [emoji23] [emoji23] nacheka kama mazuri.Yaani huwa sielewi kabisa mtu amelala na macho amefumba lkn anaota giza
Kweli maluwe luwe kama alivyosema mtoa mada.
Ndio maisha lkn hili janga linakupa muda hata wakujipanga na ukiamua kuliepuka pia inawezekana.
Siyo Uviko au blood pressure.
 
Vaa Kondomu. Tuache kuuza mechi Lisa make-up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…