ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

Cha kwanza ni kupima baada ya hapo vaa kondom kulingana na mwonekano wa mwanamke mwingine inabidi uvae hata tatu kwa usalama
 
Mezeni vidonge wakuu ukishapata Umeme nikumeza dawa tu nothing else.
 
Huu ugonjwa chenga Sana, usikie Tu Kwa jirani
 
KAMA MTU UNA UKIMWI HAKIKISHA UNAKULA DAWA VIZURI NA KAMA ULIJILIPUA HAKIKISHA AFYA YAKO MAPEMA ILI UANZE TIBA MAPEMA UKIMWI KAMA MTU HATUMII DAWA UNAMPELEKA PABAYA HATA KUAIBIKA
 
Aliefufua ndie aliunzisha, TAZAMA vizuri.

Halafu haraka haraka ya Nini!?

Hata wewe unaweza ipata ngwengwe hapo ulipo.

Uwe unasoma vizuri kabla ya kupost.

Heri mwaka mpya
Sawa mkuu usipanic [emoji1787][emoji1787][emoji38]
 
Wazazi wng wote waliondoka kwa ugonjwa huu na kuniacha mdogo sn mi na dada zangu[emoji22][emoji22]..upande wa mama yaani ujombani walizaliwa watoto kumi wakike sita wakiume wanne ila mpaka muda huu wamebaki wajomba tu,hao wakike akiwemo mama waliondoka na ugonjwa huu jumlisha waume zao,tena ule ukimwi wa zamani..huu ugonjwa huwa nkiusikia nakosa raha kabisa nilishaathiriwa kisaikolojia..MUNGU atuepushe jamani.
 
Wee mwenyewe mzima? Ukute walikuacha nao, si umesema walikuacha mdogo??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…