ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

Mim mwenyewe mwanzoni nilisumbuka sana kumeza lakini baada ya wiki mbili nikazoea saiv nazimeza na ninadunda nateleza na mabinti tu ...kina muhimu sana
Kina ndo nini mkuu? Ila tumia Condom usiwaambukize makusudi
 
Kinachotakiwa kujiamini mwenyewe na kujilinda
Hamna cha mtoto au mtu mzima kama anao anao tu,kuna binti mdogo wa miaka 21 kaambukizwa na mtu mzima,binti yupo vizuri sura mpk shape,sasa jiingize mzima mzima
 
Mkuu hakika umenena, Mwanaume kupata ukimwi ni kujitakia mwenyewe, hivi wewe una akili timamu mtu hamjapima na kondom hakuna halafu demu ni mpya afu unaenda kavu kavu zaidi ya dakika 4 mpaka 5? piga kamoja vaa nguo zako ondoka hilo eneo la tukio, kama hajaridhika atakutafuta mwenyewe kwa shida hiyo na ndo hapo mtapima au mtatumia kondomu

Kwani ukipiga bao moja kwa mtu usiyemjua status yake atakucheka? bora akucheke lakini moyoni unajua kwa nn umefanya hivo
Nimewahi kufanya hii kitu aisee. In fact hata wazungu hawakutoka, ndani ya dkk 3 tu nikatoa ki sababu nikamuacha. Hawa wanawake sio wa kuuzia mechi
Kuna manzi mwingine nilikuwa nakula ikawa kila siku inaomba twende kavu eti "baby mimi nakuamini mbona wewe huniamini" niligoma kabisa. Kuna siku nimekaa bar fulani na wanangu watatu ile manzi ikapita na wakaniambia wote wameila tena kavu. Nikawaza je ingekuwa nilipiga na mimi kavu si ningekua kwenye grid
 
Wakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu ndugu, ule utelezi na joto-joto litakugharimu.

UPDATE
Kama umeoa bora kumtaarifu mapema mwenzio maana siku ukibumbuluka aibu yake unaweza kujaza shazi mtaani.
**Wake zetu SI unajua vichwa vibovu
Kuleni maisha wala msihofu vijana
 
Kwa ufahamu wangu, Carrier ni yule MTU ana HIV na kapima kabisa yupo +ve. Sema zile Virus hazimdhuru kwa chochote na hatumii ARV. Sasa hawa O+ wenyewe hawapati kabisa HIV.
Wewe jamaa usitake nianze kubutua butua hovyo[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]
 
Komaaa wamesema wenyewe utaisha 2030, kwa hiyo sasa hivi unaishi kwa bwana matumaini?

Ila mkuu pamoja na elimu yote hii bado unapata moto!!?
ukisoma ule uzi wetu pendwa wa kula tunda kimaskhara ndio utajua ni vipi watu bado wanapelekeana moto kavukavu
 
Nyeto kama nyeto
Nyeto ni salama asilimia 100 . Ukiwa unanyonga una uhakika kabisa kwamba huna ukimwi. Na uzuri Nyeto ina safety features mfano ukienda kwenye papuchi ni fasta tu askari analala ila ukienda bafuni unafyatua[emoji23]
Itoshe tu kusema Nyeto inatukinga na Ngoma.
 
Wakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu ndugu, ule utelezi na joto-joto litakugharimu.

UPDATE
Kama umeoa bora kumtaarifu mapema mwenzio maana siku ukibumbuluka aibu yake unaweza kujaza shazi mtaani.

**Wake zetu si unajua vichwa vibovu!
Naona umeamua kabisa kubadilisha ID😂

Sawa Josh Ok
 
elimu kuhusu SEXUAL NETWORK ya MTU ni ngumu sanaa kuifahamu , yaani mfano mimi ME nikapata mwanamke tumetongozana hadi tumekubaliana kulana, sasa alikotoka hadi kufikia kwangu sijui maswali ambayo natakiwa kujiuliza ni haya

je sexual network yake ikoje?? licha ya kuonesha innocence looks, kumbuka usimwamini binadamu yeyote katika hii dunia kwa vyovyote sasa hapa nitajiuliza tangu abalehe, kapita kwa nani na nani hadi kufikia kwangu?? hiyo ndo sexual network sasa unapaswa kuijua kua network yake kabla ya kuingiza dudu lako kwenye moto. unatakiwa ujue sex network yake ina transformer ya umeme? au inatumia umeme wa kawaida wa betri usio na madhara?

je nitumie njia gani kuijua network yake, mi naamini kile kinachotoka rohoni mwa mtu ndicho kinachotambulisha matendo halisi ya mtu sasa nakipateje hicho kitokacho rohoni? hapa mala nyingi itabidi either ni hack mawasiliano yake yote message,whassap, calls sasa hapa unaweza lipia fees kwa watu wanaotoa hii huduma nadhani haizidi tsh 30000/=
hadi hapo unakuwa umehack maneno yote ya sauti na maandishi yanayotoka rohoni mwake

cha mwisho unatakiwa uhacks mijongeo ya mwili wake, wataaamu wasema hivi ukiachwa ndani ya nyumba peke ako tu kwa muda say mwezi mmoja na ukahakikisha kwamba hakuna mtu yeyote anayeweza kuinterfer ndani mwako

wanasema kunatabia flani unaanza kuzionesha ambazo huwezi kuzifanya ukiwa na wenzako mfano baadhi ya tabia nilizozidaka kwa mwanamke flani, anapenda kucheza akiwa uchi peke ake chumbani, kuangalia tv bila nguo, kuongea peke ake, n.k

sasa vyote hivyo ni lazima utumie mbinu matata kumnasa pasipo yeye kufahamu, baadhi ya mbinu sebuleni weka hidden clock camera ambayo hawezi kuishtukia, chumbani napo weka frem ya picha ya ukutani ambyo nayo ni hidden camera hiyo fremu ya picha ifanye isimushawishi kuitoa na kuiangalia, weka complicated photo kama vile daraja, picha ya miamba ya dhahabu, au formula ya hesabu ngumu ili asishawishke kuichukuaa hapo utakuwa umefanikiwa kunasa physcal movement na pia mawasiliano yake ukijumlisha hivyo vyote unakuwa umemuhack mtukwa asilimia 90%

kumbuka vyote hivyo unafanya ukiwa mbali nae, ili apate uhulu wa kutoa vya rohoni mwake.

nazani yale maneno ya biblia takatifu kwamba tuishi na mwanamke kwa akili ndo yametimia.

mwanamke ukiwa unaishi nae chukulia kama ni mchawi yaani muda wowote anaweza kukupindua so unacheka naye,kulala nae,kula nae, any thing kwa taadhari sana

lakini kumbuka sexual emotions(mihemko) huwezi kuishinda wewe kama wewe kwa akili yako because is out in your control, miili yetu inaendesha na vichocheo ambavyo ni homoni, so huwezi kuzicontro hormoni kwa akili yako njia ya kuzinshinda mihemko ni kumuomba mungu akuepushe kwani kwa yeye hakuna kitu kinachoshikndikana.
 
Kwa hassle hizi mkuu tutafika mbinguni tumechoka sana…
 
Back
Top Bottom