Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is below the waist jabs!
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala kikihboy
Mbona majanga yafuatayo hayajaingia Tanzania?Tusishangirie korona kuongezeka kwajirani. Kumbuka Kenya na tz kuna muingiliano mkubwa hadi njia za uchochoroni which means janga likitikisa Kenya litatikisa pia tz .tayari inahisiwa tetesi za corona Tanga kuwa yamkini zimetokea Mombasa
Hawa nyang'au hawakuanza leo kuiga wazungu.....Anawaiga akina Trump?
Trump aliongea uhalisia kulingana na halisi Marekani kuna Vifo zaidi ya 4000+ kwa Jana na Leo tu MarekaniAngekuwa mbongo angeshaliwa kichwa
Ilo lipo waziTrump aliongea uhalisia kulingana na halisi Marekani kuna Vifo zaidi ya 4000+ kwa Jana na Leo tu Marekani
hapa pia umerudia makosa yale yale......Ha ha ha bwanawe nimeandika kwa haraka vidole vyangu vilizidiwa na akili kufikilia lakini asante kwa kuliona hilo vipi ujumbe umeuwelewa nilicho maanisha