As a sign of giving up the fight, Kenyans should prepare themselves for the worst!

As a sign of giving up the fight, Kenyans should prepare themselves for the worst!

Like this
1586268333275.png
 
Tusishangirie korona kuongezeka kwajirani. Kumbuka Kenya na tz kuna muingiliano mkubwa hadi njia za uchochoroni which means janga likitikisa Kenya litatikisa pia tz .tayari inahisiwa tetesi za corona Tanga kuwa yamkini zimetokea Mombasa
 
Mbona majanga yafuatayo hayajaingia Tanzania?
1)Ukabila
2)Rushwa
3)Nzige
4)Njaa
5)Slums
6)Terrorism
7)Police brutality
8)Crime
9)Roho mbaya
10)Ugly women

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wakati Kenya ilipitia kipindi kigumu Kama fujo za mwaka 2008? Kuna majanga ya kutisha yanatumaliza Kama malaria, kipindupindu, TB, njaa mbona haongelei hayo.

Viongozi mbona wanakoswa skills za uongozi na wanatisha watu? Corona hata kama itaua watu millioni moja wapo watakaobaki na hakuna haja ya kuwajengea hofu watu wako

Anawaiga akina Trump?
 
Ndio akili yake ilipofikia usimkosoe point wenyewe ndio walikosea ile ndege ya kichina kuipokea na kuruhusu wanafunzi wao na watu wao kuwarudisha nyumbani ilo ndio kosa lao na ndipo wataelewa intelligence yetu ya usalama taifa.

Hipo makini unakumbuka kuna wapinzani na rai wasiojielewa walimrahumu magufuli kwann awarudishi wanafunzi kutoka wuhan china ndugu yangu hawa wapinzani tuwe nao makini sana magufuli anamapungufu yake lakini yuko makini kwa usalama wa wananchi na taifa kwa ujumla magufuli oye.
 
Back
Top Bottom