As long as it involved the loss of human life, whatever GOOD THINGS one might have done, all go to the trench!

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Yooote yanakwenda na mtaro wa maji machafu as long as maisha ya watu hukuyapa thamani na ukayapoteza.
1. Watu wasiojulikana walianza kipindi cha Magufuli
2. Where is Ben Saanane
3. ......And many others!
 
Hakuna chenye thamani zaidi ya uhai wa mwanadamu mmoja tu.

Huwezi kujitetea kuwa niliua binadamu mmoja kwa sababu yoyote ile ,hata kama ni muhalifu ndio maana hata baadhi ya nchi zinafuta adhabu ya hukumu ya kifo hukumu ya kunyonga watu.

mtu yeyote anayeua watu kwanza hawezi kuwa na akili timamu..na hatakuwa sawa milele ukiua binadamu mwwnzako maisha yako hayawezi kuwa normal kama hakuna kilichotokea never..

watu walioua ndio maana unakuta wengine wanatumia vilevi kama kuvuta mibange na kunywa mipombe ili kuondoa mawazo.
na wengine usiku hawalali wanatikewa na zile roho za marehemu waliowauwa zikidai haki ya kuishi waliyowadhulumu..zinawauliza kwanini uliniua ukazima ndoto zangu...nimekukisea nini?

wengine wamekuwa wehu...

na mbaya zaidi ni siku ya wao kukata roho...huwa wanakufa kwa mateso mana zile roho za marehemu huwa zinatokea na kuanza kulipa kisasi..

ndio maana hata wachawi na wauaji wengine huwa roho zao zinawatoka kwa mateso na kuweweseka na kupiga mikelele wanapokufa..kwanza kwa sababu wanaona wanakoelekea kuzimu ya mateso..kuvuna walichipanda..

Katika kitu cha kijinga sana na kipumbavu mwanadamu anachoweza kufanya ni kumuua mwanadamu mwenzake,wakati na yeye ni binadamu ambaye ni naye ni marehemu mtarajiwa ambaye hajui atakufa lini na yeye na atakufaje na huko anakoenda kuzimu atapokelewa kea mateso ya aina gani..ingekuwa kuna mtu alishawahi kuyajua mateso ya kuzimu yalivyo kwa wenye dhambi hakuna ambaye angethubutu kutenda dhambi.

mbaya zaidi unakuta mtu anajisifu kabisa kwa kuuwa watu...eti nimeyaua manyumbu...so sad.
 
Mit 6:16-19
Kuna vitu sita anavyovichukia BWANA; Naam, viko saba vilivyo chukizo kwake. Macho ya kiburi**, ulimi wa uongo, **Na mikono imwagayo damu isiyo na hatia; Moyo uwazao mawazo mabaya; Miguu iliyo myepesi kukimbilia maovu; Shahidi wa uongo asemaye uongo; Naye apandaye mbegu za fitina kati ya ndugu.

Mwanzo 4: 8 “Kaini akamwambia Habili nduguye, [Twende uwandani]Ikawa walipokuwapo uwandani,Kaini akamwinukia Habili nduguye,akamwua. 9 Bwana akamwambia Kaini, Yuko wapi Habili ndugu yako? Akasema, Sijui, mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?
10 Akasema, Umefanya nini? SAUTI YA DAMU YA NDUGU YAKO INANILILIA KUTOKA KATIKA ARDHI.
11 Basi sasa, umelaaniwa wewe katika ardhi, iliyofumbua kinywa chake ipokee damu ya ndugu yako kwa mkono wako; 12 utakapoilima ardhi haitakupa mazao yake; utakuwa mtoro na mtu asiye na kikao”.(mtu asiye na makao maalumu duniani..**HUWEZI KUUA MWANADAMU MWENZIO HALAFU KARMA IKAKUACHA UISHI TU MAISHA YA AMANI...UKIUA HUTAKUWA NA AMANI YA MOYO HATA UWE TAJIRI MWENYE KILA KITU..ILA UTAKUWA MASIKINI MIYONI..HUWEZI KUFURAHIA HATA HIVYO VIPANDE THELATHINI VYA PESA ULIVYOLUPWA ILI KUMSALITI MWANA WA ADAMU KWA KUMWAGA DAMU YAKE,that unlawful wrong inhuman act wont go unpaid your life wont be normal..
 
Attachments

  • downloadfile-15.jpg
    downloadfile-15.jpg
    135.1 KB · Views: 20
Yooote yanakwenda na mtaro wa maji machafu as long as maisha ya watu hukuyapa thamani na ukayapoteza.
1. Watu wasiojulikana walianza kipindi cha Magufuli
2. Where is Ben Saanane
3. ......And many others!
Man born of woman is of few days, and full of trouble.
 
Mwambie azingatie lile andiko alilisomewa na sister walipokuwa wanaaga mwili wa PENGO. asipuuzie asije kustuka while it is too late
 
Yooote yanakwenda na mtaro wa maji machafu as long as maisha ya watu hukuyapa thamani na ukayapoteza.
No!, its the other way around!, kwa mujibu wa kanuni ya karma, ukitenda uovu ukiwemo maaji na vitendo vya umwagaji damu, adhabu ya karma itakuhusu, ila ukitenda mema na matendo ya huruma kabla karma haijakushukia, mema hayo yapunguza ule ukali wa adhabu yako ya karma, na wema ukiwa ni mkubwa zaidi ya ule uovu, huo wema unafuniko ule uovu na adhabu inafutika!.
Kila Mtenda Mema, Hulipwa na Karma, Mema Mara Dufu!.
Hapa ndipo inapokuja hoja ya kila mtenda wema, atalipwa mema na kila mtenda ubaya au maovu atalipwa ubaya au uovu na malipo haya hufanyika hapa hapa duniani, ila malipo huwa ni mara dufu ya wema ulioutenda, au uovu ulioutenda, hii ndio hiyo karma yenyewe, what goes around comes around!.

Uzuri wa Karma ni Reversible, Ukifanya Ubaya, Unaweza Kuupindua Ubaya Huo Kwa Wema, Ukaepuka Adhabu ya Karma!.
ila pia kwa kujitambua, ukifanya jambo baya, ukaomba msamaha kabla karma haijaanza kukushughulikia, then una weza ku reverse bad karma isikutokee, au hata kuizuia kabisa kwa kufanya mema mengi zaidi kuliko uovu!. Hii inaitwa kuireversi karma, hivyo mtu muuaji, akibaini kosa lake na kujutia, kisha akatembea na fuko la fedha kuwagawia yatima na masikini, adhabu ya karma ya uovu wake inapinduliwa na mema yake, anabarikiwa!.

Paskali

P
 
Hakuna chenye thamani zaidi ya uhai wa mwanadamu mmoja tu.

Huwezi kujitetea kuwa niliua binadamu mmoja kwa sababu yoyote ile ,hata kama ni muhalifu ndio maana hata baadhi ya nchi zinafuta adhabu ya hukumu ya kifo hukumu ya kunyonga watu.

mtu yeyote anayeua watu kwanza hawezi kuwa na akili timamu..na hatakuwa sawa milele ukiua binadamu mwwnzako maisha yako hayawezi kuwa normal kama hakuna kilichotokea never..

watu walioua ndio maana unakuta wengine wanatumia vilevi kama kuvuta mibange na kunywa mipombe ili kuondoa mawazo.
na wengine usiku hawalali wanatikewa na zile roho za marehemu waliowauwa zikidai haki ya kuishi waliyowadhulumu..zinawauliza kwanini uliniua ukazima ndoto zangu...nimekukisea nini?

wengine wamekuwa wehu...

na mbaya zaidi ni siku ya wao kukata roho...huwa wanakufa kwa mateso mana zile roho za marehemu huwa zinatokea na kuanza kulipa kisasi..

ndio maana hata wachawi na wauaji wengine huwa roho zao zinawatoka kwa mateso na kuweweseka na kupiga mikelele wanapokufa..kwanza kwa sababu wanaona wanakoelekea kuzimu ya mateso..kuvuna walichipanda..

Katika kitu cha kijinga sana na kipumbavu mwanadamu anachoweza kufanya ni kumuua mwanadamu mwenzake,wakati na yeye ni binadamu ambaye ni naye ni marehemu mtarajiwa ambaye hajui atakufa lini na yeye na atakufaje na huko anakoenda kuzimu atapokelewa kea mateso ya aina gani..ingekuwa kuna mtu alishawahi kuyajua mateso ya kuzimu yalivyo kwa wenye dhambi hakuna ambaye angethubutu kutenda dhambi.

mbaya zaidi unakuta mtu anajisifu kabisa kwa kuuwa watu...eti nimeyaua manyumbu...so sad.
Umeandika vema. Uhai wa mtu ni tunu ya Mungu. Ukiua mtu umemuua Mungu
No!, its the other way around!, kwa mujibu wa kanuni ya karma, ukitenda uovu ukiwemo maaji na vitendo vya umwagaji damu, adhabu ya karma itakuhusu, ila ukitenda mema na matendo ya huruma kabla karma haijakushukia, mema hayo yapunguza ule ukali wa adhabu yako ya karma, na wema ukiwa ni mkubwa zaidi ya ule uovu, huo wema unafuniko ule uovu na adhabu inafutika!.

P
Fine Mayalla! But when it involves deliberate loss of human life, there is no compensations. Huwezi kuua mtu kuwa bàada ya hapo nitatenda mema kufuta huyu niliyemuua ambaye ndugu zake wana KIHORO CHA MILELE. HAPANA, AS LONG AS SIJAKUSAMEHE, MUNGU HANA NAFASI YA KUKUSAMEHE
 
Yooote yanakwenda na mtaro wa maji machafu as long as maisha ya watu hukuyapa thamani na ukayapoteza.
1. Watu wasiojulikana walianza kipindi cha Magufuli
2. Where is Ben Saanane
3. ......And many others!
Wasiojulikana wameanzia mbali. Labda sema kama kuna mtu huwa unajaribu kumlinda.

Unayakumbuka matukio ya Dr. Ulimboka, Absalom Kibanda, etc?
 
As pertains to the thread heading..., not necessarily so.

I wouldn't flinch for a second for the loss of life of such develish individuals, like Samia and her gang!

You may consider revising the heading or being specific in your explanation.
 
Wasiojulikana wameanzia mbali. Labda sema kama kuna mtu huwa unajaribu kumlinda.

Unayakumbuka matukio ya Dr. Ulimboka, Absalom Kibanda, etc?
Sina wa kumlinda maana sina madaraka ya dola. Those were isolated incidents. Zilikuwa "officiated"during Magufuli era!
 
It just doesn’t make any sense. Hakuna successor muadilifu ambaye huendeleza maovu yaliyoasisiwa na predecessor wake huku akiyaacha mazuri!
 
Mzee Magu ndiye alijenga msingi wa hili janga tunalopitia sasa,alikuwa rais mbovu kuliko wote tangu Tanzania iingie kwenye mfumo wa vyama vingi.
 
Mwambie azingatie lile andiko alilisomewa na sister walipokuwa wanaaga mwili wa PENGO. asipuuzie asije kustuka while it is too late
ila gentleman,
kwanini Kitima alifurahia sana Pengo kufariki?
au alidhani pengo ndie alikua kizuizi cha yeye kua askofu?

alilewa mno siku ile aise na alikua nafuraha isiyofichika
 
Back
Top Bottom