As one reflects on the past, the number of ancestors increases.

As one reflects on the past, the number of ancestors increases.

Bob Manson

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
4,158
Reaction score
7,787
Habari wana jukwaa, tujadili kuhusu hili...

kama una wazazi wawili, utakuwa na 4 grandparents, 8 great grandparents ect.....

Katika generation 20, utakuwa na mababu na mabibi 1,000,000. Kila generation namba zinakuwa doubled.

Rudi nyuma generation 30, utagundua kwamba ulikuwa na grandparents zaidi ya bilioni moja 1,000,000,000.

PicsArt_08-10-08.43.23.png


Nashindwa kuelewa jambo, kama idadi au population ya watu walioishi miaka ya zamani ilikuwa ndogo, inakuwaje mababu na mabibi zetu wawe ni wengi zaidi tukitazama mlolongo wa vizazi vyetu?
 
Back
Top Bottom