ancestors

An ancestor, also known as a forefather, fore-elder, or a forebear, is a parent or (recursively) the parent of an antecedent (i.e., a grandparent, great-grandparent, great-great-grandparent and so forth). Ancestor is "any person from whom one is descended. In law, the person from whom an estate has been inherited."

View More On Wikipedia.org
  1. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya Yesu na ancestors wetu ni nani aliteseka zaidi kwa ajili yetu?

    Hivi kati ya our ancestors ambao, walifanywa watumwa na wakauawa wakipinga utumwa na ukoloni kwa miaka na miaka Na yesu, aliyeuawa msalabani ndani ya jioni moja tu Nani aliteseka zaidi kwa ajili yetu Kwa nini hatuwaenzi ancestors wetu the way tunavyomuenzi Yesu?
  2. Empty container for sale

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuwasiliana na mizimu (ancestors) kwa ajili ya kupata mafanikio au kuweka mambo yako sawa

    Hapa natoa madokezo (hints) kuhusu kujiunganisha na mizimu ya kwenu ili kuweka mambo yako sawa. Tunaanza. 1. Tafuta eneo safi na tulivu Hakikisha Una eneo safi na tulivu ambalo utalitumia Kama madhabu yako kuongea na mizimu ya kwenu ili kupata msaada eneo linaweza kuwa hata chumbani kwako...
  3. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania As one reflects on the past, the number of ancestors increases.

    Habari wana jukwaa, tujadili kuhusu hili... kama una wazazi wawili, utakuwa na 4 grandparents, 8 great grandparents ect..... Katika generation 20, utakuwa na mababu na mabibi 1,000,000. Kila generation namba zinakuwa doubled. Rudi nyuma generation 30, utagundua kwamba ulikuwa na grandparents...
Back
Top Bottom