Hivi kati ya Yesu na ancestors wetu ni nani aliteseka zaidi kwa ajili yetu?

Hivi kati ya Yesu na ancestors wetu ni nani aliteseka zaidi kwa ajili yetu?

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
8,000
Reaction score
16,414
Hivi kati ya our ancestors ambao, walifanywa watumwa na wakauawa wakipinga utumwa na ukoloni kwa miaka na miaka
Na yesu, aliyeuawa msalabani ndani ya jioni moja tu

Nani aliteseka zaidi kwa ajili yetu

Kwa nini hatuwaenzi ancestors wetu the way tunavyomuenzi Yesu?
Screenshot_20260425-100732.png

Screenshot_20260425-101434.png
Slavery-in-South-Africa.webp
Wordpress-The-history-of-colonialism-and-slavery-still-impacts-Black-people-in-Canada.jpg
colonialism-africa-white-scientists-doing-microscopic-analyses-early-F0BX12.jpg
 
Nahisi ni watu wawili wenye utofauti.

Ila sio kwa ubaya, Ancestors ndo aliteseka kwa ajili yetu.
 
"Ancestors" wetu hawakuteseka kwa ajili yetu. Na kuondoa utumwa kulitokana na juhudi za jamii mbalimbali sio waafrika tu.

Yesu ni mhusika wa kidini anaabudiwa kila siku.
Kwa nini akina Kijekitile Ngwale walipigana vita vya Majimaji? Au kwa nini wahehe walipigana na Wajerumani. Lengo lilikuwa nini
 
Kwa nini akina Kijekitile Ngwale walipigana vita vya Majimaji? Au kwa nini wahehe walipigana na Wajerumani. Lengo lilikuwa nini
Walipigania uhuru wa falme zao sio sisi. Ndio maana wengine waliungana na wakoloni kukandamiza falme zilizo adui kwao.

Wala hawakuijua nchi ya Tanzania.
 
Usidanganyike. Ule ulikuwa ni mtifuano kati ya watawala wa kiafrika na wa kizungu.

Wangekuwa wanajali kuhusu wewe wasingekata tamaa. Ilifika mahali machifu wakawa vibarua vya waingereza.
Bila Africans kuresist colonial rule, wazungu wasingeiachia Africa
Hawakuhitaji watumwa tena, ila walihitaji resources, ila it wasn't worth it kwa sababu Africans were tired everywhere
Haijalishi walikuwa wananijua au la, huwezi kuwajua watu ambao hawajazaliwa anyway, sijui umetoa wapi hii logic ila whatever. Their sacrifice ndio sababu ya uhuru uliopo Africa
 
"Ancestors" wetu hawakuteseka kwa ajili yetu. Na kuondoa utumwa kulitokana na juhudi za jamii mbalimbali sio waafrika tu.

Yesu ni mhusika wa kidini anaabudiwa kila siku.
we mzee baba yesu toka lini alianza kuwa na dini,? au mnamuongelea yesu wa kwenye makanisa ya waroman na matawi yao maana kama yesu wa kwenye bible hakuwa na dini
 
Bila Africans kuresist colonial rule, wazungu wasingeiachia Africa
Hawakuhitaji watumwa tena, ila walihitaji resources, ila it wasn't worth it kwa sababu Africans were tired everywhere
Haijalishi walikuwa wananijua au la, huwezi kuwajua watu ambao hawajazaliwa anyway, sijui umetoa wapi hii logic ila whatever. Their sacrifice ndio sababu ya uhuru uliopo Africa
Wazungu waliiacha kwasababu walitaka. Madhara ya vita vya pili vya dunia na kuanzishwa kwa umoja wa mataifa vilisababisha.

Hata hawa watoto wa kishua kina Julius Nyerere na Jomo Kenyatta wasingesoma nje na kugundua siasa za kistaarabu bila ufadhili wa wazungu.

Kwanza waingereza walianzisha mfumo wa kusomesha weusi nje ili wapate vibaraka wazuri wa kusimamia mambo.
 
Kuna jambo kwanza hauna ufahamu nalo.

Unajua karibu makabila yote ya Afrika yalikuwa na dhana ya Mungu Mkuu?

Una uelewa wowote kuhusu haya majina hapa chini?

Enkai, Katonda, Nyasaye?

Kama hao mababu walimwinamia Mungu, wewe ni nani hata uwaweke wao daraja moja na huyo Mungu wao?
 
Unajidanganya. Wazungu waliondoka kwa sababu Waafrika walikuwa wanadai uhuru. Kuna part ya history unairuka
Bila resistance wazungu wangebaki na tungekua tunaishi kama kipindi cha apartheid South Africa. Na unaona hata apartheid iliisha Afrika Kusini kwa sababu watu waliiresist pia
Kama Waafrika wangeendelea kukaa tu, uhuru usingepatikana.
 
Kuna jambo kwanza hauna ufahamu nalo.

Unajua karibu makabila yote ya Afrika yalikuwa na dhana ya Mungu Mkuu?

Una uelewa wowote kuhusu haya majina hapa chini?

Enkai, Katonda, Nyasaye?

Kama hao mababu walimwinamia Mungu, wewe ni nani hata uwaweke wao daraja moja na huyo Mungu wao?
Nimemtaja Yesu, sio Mungu please
 
Hakuna aliyeteseka kwaajili yetu. Hapa duniani kila mtu anapitia mateso kwa aina mbali mbali. Kila mtu na mateso yake...
Kama waliteseka kwaajili yetu mbona bado tunateseka?
Maana yake hata Yesu pia hakuteseka kwa ajili yetu, sio?
I like this logic better, kama Waafrika wa miaka hiyo hawakuteseka kwa ajili yetu, basi na Yesu hakuteseka kwa ajili yetu, na pia hakuna yoyote aliyeteseka kwa ajili yetu

This sounds fair and way better than religious bullshit
 
Back
Top Bottom