🗑️🗑️🗑️🗑️🗑️🗑️Inaonekana huijui Jamii Forums mkuu. Humu hakuna sehemu ya kufuta mada ukishaiandika tayari
🗑️🗑️🗑️🗑️🗑️🗑️Inaonekana huijui Jamii Forums mkuu. Humu hakuna sehemu ya kufuta mada ukishaiandika tayari
Niache tu bana😭niruhusu niteseke kwaajili yako lakini kwanza unatesekaje na unateseka na nini baby..?
1. Jiulize kwanini nchi 33 za afrika zilipata uhuru kati ya 1960-1970, 17 zikiwa zimeupata 1960 pekee.
2. Kasome UN Charter ya 1945
3. Pitia kwa umakini trusteeship policy kwenye hiyo UN charter.
Mwana adamu yupi wakati mimi sikuwa nimezaliwa?Una hoja ya maana sana, inahitaji tafakuri ya kina kuijibu.
Ila kwa engo ya kidini ama kiimani mateso ya Yesu kifo na ufufuko wake ilikuw sadaka ama malipo ya fidia kwaajili ya kurejesha mahusiano ya Mungu na mwanadamu.
Hakuna kitu kama hicho, kosa ufanye wewe halafu Mungu amuadhibu mwengine. Hayo ni matokeo ya akili kuongozwa na imani ndio maana mtu anaweza kukubali vitu kama hivyo.Ila kwa engo ya kidini ama kiimani mateso ya Yesu kifo na ufufuko wake ilikuw sadaka ama malipo ya fidia kwaajili ya kurejesha mahusiano ya Mungu na mwanadamu.
Hujui kutofautisha kati ya tukio la kihistoria na athari ya kiroho.Kwa hiyo Yesu aliteseka kwa ajili yako mkazi wa Tandahimba 😅😅
Pia vipi kuhusu Yesu kuteseka kwa ajili yetu, yenyewe ni BIG YESSS?Shida ni kwamba AFRICA hatuna historia.Historia yetu ukiaanza kuichanganua hata daftari la msomi halijai.We hujiulizi kipindi cha MEDIEVAL sisi tulikuwa wapi??Waangalie jammii zingine wana historia zao za kujivunia sisi ukitoa MKWAWA,MAJI MAJI NA MILAMBO ambazo zenyewe sio za siku nyingi sana tuna kipi kingine cha kujivunia?? Angalau wenzetu ETHIOPIA NA MISRI kwa africa wapo vizuri.SO ukisema ancestors wetu wameteseka kwa ajili yetu BIG NOOO
Hapo kwa YESU sasa Ni ipo kiimani zaidi kuliko kihistoria.Na mimi niliongelea kuhusu Historia ya Africa ambayo kwangu huwa naiona ina ukakasi zaidiPia vipi kuhusu Yesu kuteseka kwa ajili yetu, yenyewe ni BIG YESSS?
huyo Yesu ILItakiwa afe mazima ndipo tungejua lipo kwa ajili Yetu, njemba linakufa then sasa hivi lipo tu linagonga tano mbinguni na sir God Lilitusaidiaje sasa?Una hoja ya maana sana, inahitaji tafakuri ya kina kuijibu.
Ila kwa engo ya kidini ama kiimani mateso ya Yesu kifo na ufufuko wake ilikuw sadaka ama malipo ya fidia kwaajili ya kurejesha mahusiano ya Mungu na mwanadamu.
Wenda Wazungu wasinge Kuja Ungekuwa Msituni Muda huu Unatafuta Chakula Cha Jioni,Hivi kati ya our ancestors ambao, walifanywa watumwa na wakauawa wakipinga utumwa na ukoloni kwa miaka na miaka
Na yesu, aliyeuawa msalabani ndani ya jioni moja tu
Nani aliteseka zaidi kwa ajili yetu
Kwa nini hatuwaenzi ancestors wetu the way tunavyomuenzi Yesu?
View attachment 3578952
View attachment 3578957View attachment 3578953View attachment 3578954View attachment 3578955
Utalinganisha na mateso ya kuuzwa utumwani?Hakuna aliyeteseka kwaajili yetu. Hapa duniani kila mtu anapitia mateso kwa aina mbali mbali. Kila mtu na mateso yake...
Kama waliteseka kwaajili yetu mbona bado tunateseka?
Yesu ni WA WazunguHivi kati ya our ancestors ambao, walifanywa watumwa na wakauawa wakipinga utumwa na ukoloni kwa miaka na miaka
Na yesu, aliyeuawa msalabani ndani ya jioni moja tu
Nani aliteseka zaidi kwa ajili yetu
Kwa nini hatuwaenzi ancestors wetu the way tunavyomuenzi Yesu?
View attachment 3578952
View attachment 3578957View attachment 3578953View attachment 3578954View attachment 3578955
Kweli,Uongooo