KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,625
- 89,385
unahoja usikilizwe baby...Hakuna aliyeteseka kwaajili yetu. Hapa duniani kila mtu anapitia mateso kwa aina mbali mbali. Kila mtu na mateso yake...
Kama waliteseka kwaajili yetu mbona bado tunateseka?