As Safaricom profit is approaching$1B, Vodacom Tanzania is minting losses like there's no tomorrow

Eti budget 90% msaadaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, daalili za kulemewa, kakosa jibu sasa ni kulia liaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., join your brother analia kwa choo hadi sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
Ninyi hata kununua paracetamol bila msaada hamuwezi, budget yenu yote ni msaada kushoto kulia
 
siamini kama telecoms company inaweza ku-report hasara kiasi hicho, kuna kitu hakijasemwa. A drop of 2.9m subscribers imetokeaje wakati kila mara wanajitapa kuwa na customer-base kubwa? Why should they allow it to happen?
 
Ninyi hata kununua paracetamol bila msaada hamuwezi, budget yenu yote ni msaada kushoto kulia
Ni kweli ata mimi nimeona hayoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Muda si mrefu budget ya nchi za East Africa zinaenda kusomwa., tutakua hapa kukagua tuone.., hadithi za vijiweni mtabakia nazo tuπŸ˜‚, so tulia🀫
 
Huwezi shindana na monopoly kama safari com in Kenya, huku kuna vodacom, halotel, tigo, airtel, zantel, ttcl. Voda wakizingua kidogo, watu wanahamia kwengine.
Kenya bila safaricom imekula kwako. Hao lazima wafanye vyema
Safaricom wamewezaje kulimiliki soko zima la Kenya
 
Nahisi huu usajili wa alama za vidole umechangia kupunguza faida za hawa jamaa zetu
siamini kama telecoms company inaweza ku-report hasara kiasi hicho, kuna kitu hakijasemwa. A drop of 2.9m subscribers imetokeaje wakati kila mara wanajitapa kuwa na customer-base kubwa? Why should they allow it to happen?
 
Stop evading the question. Hizo zingine zote zilitengeneza faida ya shilingi ngapi commulatively? Yani ukijumulisha faida ya Halotel, Airtel, Tigo na hizo zingine zote ilikuwa shilingi ngapi?
 
Airtel can't even invest in revamping its poor network yet it expects to beat Safaricom in this game! How now? Kuna baadhi ya sehemu ukienda hapa Kenya you can't access airtel network at all while safaricom network utapata tena ni strong. Halafu unasikia mtu anaongea kuhusu monopoly.

It's simple: Airtel needs to do something about its network before it even thinks of being innovative in anything because all the services telco companies offer depend on network signal and strength. You can come up with a very innovative product or service but this is useless if you have poor network. Mimi kuna wakati nanunua airtel data bundles ( which by the way are cheaper than Safaricom's) but I end up not using them because of poor network.
 
Vodacom Tanzania obviously wataendelea kula hasara kwa sababu walikuwa na viburi vya kurekebisha bei za vifurushi vyao wakijivunia huduma bw M-Pesa. Vifurushi vyao vilikuwa juu muda mrefu wakati wengine walivifanya vifurushi kuwa affordable. Hii ilisababisha wateja wapya wakimbie kujiunga na Vodacom na waliopo wageuze sim cards za kutuma na kupokelea pesa tu. Pia kujihusisha na makampuni ya kukopesha hadi wakatiwa hatiani huku Mkurugenzi akikamatwa ikabidi walipe faini kubwa sana imewatia hasara kubwa sana. Vodacom ya sasa sio sawa na ile ya zamani kwa kila kitu wapo vibaya kuanzia huduma hadi vitu vingine vingi.
 
Huwezi shindana na monopoly kama safari com in Kenya, huku kuna vodacom, halotel, tigo, airtel, zantel, ttcl. Voda wakizingua kidogo, watu wanahamia kwengine.
Kenya bila safaricom imekula kwako. Hao lazima wafanye vyema
Airtel, Telkom, Equitel pia ziko usisahau! 🀣
 
almost all banks are declaring profits why Vodacom declaring loss all is done for Tax avoidance nothing else.They all fear income tax hence want to remain with service taxes only.
 
almost all banks are declaring profits why Vodacom declaring loss all is done for Tax avoidance nothing else.They all fear income tax hence want to remain with service taxes only.
How is that possible when audit reports can easily be done?
 
Huwezi shindana na monopoly kama safari com in Kenya, huku kuna vodacom, halotel, tigo, airtel, zantel, ttcl. Voda wakizingua kidogo, watu wanahamia kwengine.
Kenya bila safaricom imekula kwako. Hao lazima wafanye vyema
Safaricom iko na market share ya 64% na wateja 29 million. Profits zake ni $700 million.

Vodacom Tz iko na market share ya 33% na wateja 15 million. Profits ni zero! Si wangetengeneza angalau nusu ya profits za Safcom?
 
almost all banks are declaring profits why Vodacom declaring loss all is done for Tax avoidance nothing else.They all fear income tax hence want to remain with service taxes only.
Hapa naweza kusupport. Airtel tangu 2017 iliacha kuchapisha matokeo ya mapato ya Kila nchi kivyake. Hapa EAC wanachanganya nchi zote pamoja na kusema, mapato ni X, loss/faida ni Y. Kwahivyo hakuna uwazi wa kujua nchi gani ilileta faida kubwa kuliko nyingine. Wakitangaza Airtel EAC imepata loss, utakuta ni Airtel Tz na Ke ndo zilichangia loss kubwa lakini Airtel UG ilikua na faida lakini wanaificha hapo ndani ya loss ya EAC kusababisha serekali ya Uganda kukosa mgawanyo wa hilo pato la Airtel Ug
 
Koma.... Tena utukome kama ulivyokoma kuishi kwa wazazi wako.
 
Safaricom iko na market share ya 64% na wateja 29 million. Profits zake ni $700 million.

Vodacom Tz iko na market share ya 33% na wateja 15 million. Profits ni zero! Si wangetengeneza angalau nusu ya profits za Safcom?
Mnaona sababu gani huwa tunawanyali....?! Yaani mnadharau sana, mbona wenzenu waganda, wanyarwanda, wasouth Africa wanatuheshimu sana kama majirani.

You Kenyan's huwa nafeli sana kuwaelewa mnachowashwa juu yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…