Kachengcheng
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,551
- 979
Nyinyi Ndio mnawashwa Juu we ain't like you🤪🤪🤪🤪🤪Mnaona sababu gani huwa tunawanyali....?! Yaani mnadharau sana, mbona wenzenu waganda, wanyarwanda, wasouth Africa wanatuheshimu sana kama majirani.
You Kenyan's huwa nafeli sana kuwaelewa mnachowashwa juu yetu.