Kachengcheng
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,551
- 979
Nyinyi Ndio mnawashwa Juu we ain't like you🤪🤪🤪🤪🤪Mnaona sababu gani huwa tunawanyali....?! Yaani mnadharau sana, mbona wenzenu waganda, wanyarwanda, wasouth Africa wanatuheshimu sana kama majirani.
You Kenyan's huwa nafeli sana kuwaelewa mnachowashwa juu yetu.
Kenya inaheshimika kote kote,Pride of Africa🇰🇪🔥,Mpaka Israel waliposikia tunaside na Palestine walimtuma Ambassador wao a confirm.Dont Joke with Kenya,TZ inadharauliwa kila mahali Ni Nchi ya Vibonzo🖕😭🤣🤣🤣🤣Mnaona sababu gani huwa tunawanyali....?! Yaani mnadharau sana, mbona wenzenu waganda, wanyarwanda, wasouth Africa wanatuheshimu sana kama majirani.
You Kenyan's huwa nafeli sana kuwaelewa mnachowashwa juu yetu.
Get your staking ass outta here. What respect are u mumbling about here?!Kenya inaheshimika kote kote,Pride of Africa[emoji1139][emoji91],Mpaka Israel waliposikia tunaside na Palestine walimtuma Ambassador wao a confirm.Dont Joke with Kenya,TZ inadharauliwa kila mahali Ni Nchi ya Vibonzo[emoji867][emoji24][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dharau juu ya facts ama, we call a spade a spade huku kenya, hapo umepewa tu factsMnaona sababu gani huwa tunawanyali....?! Yaani mnadharau sana, mbona wenzenu waganda, wanyarwanda, wasouth Africa wanatuheshimu sana kama majirani.
You Kenyan's huwa nafeli sana kuwaelewa mnachowashwa juu yetu.
It was a huge mistake engineered by the late Ali Mufuruki!Walikataa Dada wetu wakaweka Mwarabu was Egypt. Haya, vuneni huyo Mwarabu mliyempanda.
Hii dunia ina watu wajinga , unakaribia kuwa kiongozi waoHapa naweza kusupport. Airtel tangu 2017 iliacha kuchapisha matokeo ya mapato ya Kila nchi kivyake. Hapa EAC wanachanganya nchi zote pamoja na kusema, mapato ni X, loss/faida ni Y. Kwahivyo hakuna uwazi wa kujua nchi gani ilileta faida kubwa kuliko nyingine. Wakitangaza Airtel EAC imepata loss, utakuta ni Airtel Tz na Ke ndo zilichangia loss kubwa lakini Airtel UG ilikua na faida lakini wanaificha hapo ndani ya loss ya EAC kusababisha serekali ya Uganda kukosa mgawanyo wa hilo pato la Airtel Ug