As Tanzania’s Magufuli attempts to fool the world, his secretary-general spills the beans

Tokea lini Ngurumo aliongea vitu positive kuhusiana awamu ya tano?

Kwaiyo article hii haijakuja kwa bahati mbaya ni muendelezo ule ule tu.
 
Mzee mbona mbishi aisee si utumie hata google ikusaidie... Hapo umepewa maana tatu wewe umebase kwenye maana ya kwanza...Lecturer hapo alikuwa anatoa speech aliyekwambia alikuwa anaandika nani... Hiyo maana yako ataifanya mwanafunzi ili aende sawa na mkufunzi.
Halafu sio lecturer tu mimi nishaona mifano hadi inayomhusisha prime minister, president etc kwamba waliabbreviate speech zao kusave time n.k....Speech ya kuongea sio hizo unazokomalia za kuandika.
Elimu haina mwisho.
 
State apparatus ni hizi hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I know why you have written this in Queen's language. I wish every Tanzanian and our Partners in Development would have access to read and understand it fully.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mayaifa mengi mababe wamefyata mkia,sembuse haka ka nchi ketu ka kimaskini,kanakoombaomba,kanapata wapi ujasiri wa kukinzana na Merekani,haya mliokuwa mnasifiasifia kijinga kwamba atapambana na mabeberu naona mmenywea.Watu wengine ujinga na ushabiki uneinuka kuliko hata akili
 
Kumbe wewe siyo objective. Anyway, huwezi toka CCM ukawa objective. Had he not been stable he would not have won the IPU call at Geneva. He is smart in all aspects you can think of!
No bro! Lisu anahitaji anyang'anywe mikononi mwa akina Mbowe, Lema and the likes.
Anahitaji time kuheal.
He needs to lower his ego and rethink kwa sababu otherwise ataendelea kuishi kwa mateso na hofu
State apparatus ni hizi hapa.View attachment 1383853

Sent using Jamii Forums mobile app
...Utawala wa SHERIA mtamu kuudai tu!
 
No bro! Lisu anahitaji anyang'anywe mikononi mwa akina Mbowe, Lema and the likes.
Anahitaji time kuheal.
He needs to lower his ego and rethink kwa sababu otherwise ataendelea kuishi kwa mateso na hofu

...Utawala wa SHERIA mtamu kuudai tu!
Huyu ni Albert Einstain ataikanaje nafsi yake!
 
March 11, 2020
Belgium

Tundu Lissu plea to the International community

Hon . Tundu Antipas Lissu, Vice Chairman of the main opposition party in Tanzania calls out to the international community to take stern measures against the current govt of Tanzania

 
March 11, 2020
Dar es Salaam, Tanzania

Capital Television : News at 9: 30 pm

Live from Dar-es-Salaam, Tanzania


Source: ITV Tanzania
 
I think the problem lies in our lack of understanding of the "incumbency advantage" concept on which the Secretary General based his arguments. Let us please not distort the Secretary General's message.

"Fool me once, and you are a fool. Foot me twice, and I am fool".

CCM SG subconsciously spilt the beans! As we have all along known for so many years, CCM are in power and try to hang on to power using the use and abuse of state apparatus, not the ballot box.

They just need to accept this FACT and bear the brunt of their shameless brutality, incompetence, and thugury.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…