As Thika Road, Mombasa Road and Waiyaki way BRT are under construction, Scania East Africa ventures into production of High capacity buses in Nairobi

NairobiWalker

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
14,267
Reaction score
14,890
The buses are being produced to government of Kenya specifications complete with air suspension and wheelchair access. They are complete world class BRT buses unlike what some of our neighbors have.

The buses will be assembled by Associated motors in Mombasa. (BTW, Kenya is the only country in East Africa with vehicle manufacturing in multiple cities).

Initial plans to import buses from South Africa were shelved for better quality buses manufactured in Mombasa. Isuzu East Africa in Nairobi will have to up their game if they intend to get a piece of the cake.



 
Vituo vyenu vya hizo BRT vitakua Chini Chini Nini?
 
Watanzania wenzangu tembeeni kifua mbere! BRT Mlizozoea kutumia kwa zaidi ya miaka mitano wengine ndio wanaanza kuziota.
Wakati sisi tunaelekea kutumia πŸš† za umeme, kwao modernity ni fossils fuel burning trains.
We're on ze light trucks, nasema uongo ndugu zangu?
 
Yaani raha tu halafu zinatengenezewa Mombasa, kwa wale ambao kingereza kimewapiga chenga....
Kikubwa tuwe makini na kuhakikisha hayatuletei changamoto kama wanazopitia Watanzania, kule kwao mabasi ya mwendo kasi ni kero.
 

Pale mtakapoanza kujenga hata 1mMM uni tag.

Huwa wengine hatutaki maneno, tunataka kuona na kugusa. Though we are not the "doubting Thomas".
 
yaank watu hawajaanza hata kuchimba barabara,tayari wameanza kuunda buses[emoji16][emoji16][emoji16].
Hawa wenzetu hawachimbi barabara, wao wanachorea kwa juu ya zile zilizopo.
 
Mbona tuchimbe barabara na tunayo tayari?

Kama barabara mnayo tayari, basi kazi iliyobaki hapo ni kupaka lipstick kama hiyo hapo chini
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½

 
Pale mtakapoanza kujenga hata 1mMM uni tag.
Huwa wengine hatutaki maneno, tunataka kuona na kugusa. Though we are not the "doubting Thomas".
Hivi hizi picha na video huzioni ama ni macho huna?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…