AS Vita 2 Simba 1 dakika 90 za ligi ya Makundi CAF

AS Vita 2 Simba 1 dakika 90 za ligi ya Makundi CAF

Aisee sijui ndo mmemisi ligi ya nyumbani mbumbu fc nimejitolea kuwashangilia leo alafu mumafungwa kipuuzi kabisa emu kuweni na utu bwana.
 
We ndugu yangu hujui kutabiri,hapa Simba akijilegeza tu mkono unamuhusu.
 
Back
Top Bottom