AS Vita kuishitaki Simba kwa kupuliza sumu vyumbani

So what?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
We unadhani kwa hali ya Kawaida mshabiki wa Mikia aeza anzisha uzi ka huu wakati mtataka kufunika kombe.

Wacheni yasemwe yanayofukuta hukoo. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hii dhahama wamejijengea wenyewe kutokana na matendo yao kwa timu wanazocheza nazo wakiwa taifa,halafu wanailamu Yanga!mikia msimu ujao kwenye michuano ya caf wakiwa ugenini hii historia itawahukumu
 
Mbona hii ishu ya sumu imeibuka kwa kasi sana hapa home hivi karibuni?,kuna nn!?,yatupasa tujiulize?!.

Sent from Nokia 7 Plus
 
Kuna popoma anauliza Chura anahusikaje? Ajabu punda wa nyuma Vita katolewa lakini anayepiga mayowe ni punda wa mbele(chura).
Anafanywa mwingine lakini anayelalamika mwingine.
Uzi umeletwa na wacongo????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…