Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
ππππIla tambuen leo droo inapangwa Simba vs Wydad Casablanca Yanga vs As Vita
Sent using Jamii Forums mobile app
SIMBA VS ESPERANCE. ππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππIla tambuen leo droo inapangwa Simba vs Wydad Casablanca Yanga vs As Vita
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu AS Vita wao wakafungua dimba mapema!!DUUH
Hahahaaa. Kama nakuona. Ningetoka baru. πππ
Hapa ni AS Vita Mkuu. Ya Yanga tukaanzishe uzi wake. π π π
Bro na wewe uko NGUVU MOJA. Duuh.Kama wako tayari turudie tena mechi,kama hawajachezea goli 5-0...!
Mnapenda kukuza uongoHahahaaa. Kama nakuona. Ningetoka baru. [emoji3][emoji3][emoji3]
Baada ya pale wakachooka. Hakukuwa na cha MASUKU wala nani.Halafu AS Vita wao wakafungua dimba mapema!!
Sijui udi gani huo ulifukizwa !!
Basi Na nyie mashabiki wa Yanga hii habar haiwahusuHapa ni AS Vita Mkuu. Ya Yanga tukaanzishe uzi wake. [emoji28][emoji28][emoji28]
Sie nouma Ndo maan nyie tumewadugaBaada ya pale wakachooka. Hakukuwa na cha MASUKUSUKU wala nani.
Ila wabaya sana nyie. [emoji85][emoji85][emoji85]
We subiri. Siku CAF wakitoa tamko ndio mtajua ni uongo ama ukweli.
Hahaaaa. Mnalo hilo.
Nyie ndo mnatakiwa msubiri maan sisi tunaendelea n mashindanoWe subiri. Siku CAF wakitoa tamko ndio mtajua ni uongo ama ukweli.
Sawa π π π
Sio mbaya ila ndio mshagutukiwa tabia zenu tayari.
Na nyie mnaend kushtak lin maan n nyie tumewadugaSio mbaya ila ndio mshagutukiwa tabia zenu tayari.
ππ