AS Vita kuishitaki Simba kwa kupuliza sumu vyumbani

AS Vita kuishitaki Simba kwa kupuliza sumu vyumbani

Kama wako tayari turudie tena mechi,kama hawajachezea goli 5-0...!
 
Siyo sumu bhana ni harufu tu ule uwanja sidhani ata kam unafanyiwaga usafi ule. Ni harufu ya uchafu tu As Vita wasifikirie vingine kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom