AS Vita waingia mjini kikomando

AS Vita waingia mjini kikomando

Vita club 1935
Young Africa sports club 1935
Tshishimbi congo
Makambo congo
Clause kindoki congo
Head coach congo
Mwl wa taifa la congo kocha wake msaidizi abafundisha yanga
Mwl msaidizi wa as vita shungu ulishawahi kuifundisha yanga kwa mafanikio makubwa
Jezi za yanga na vita n sawa kijani na njano duuuuhhh
Nina kila sababu ya kushangilia as vita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja kati ya timu tishio na yakuogopwa barani africa AS VITA imeingia mjini kikomandoo na kuapa kutekeleza mission yao ya siri kikomandoo bila kuithiri diplomasia za nchi zetu mbili kati ya CONGO na TANZANIA..
Mapema leo as vita ilionekana kwenye hoteli moja mjini lakini baada ya wale wazee wa SPRAY na NDUMBA kupewa taarifa walipo wasakata kabumbu hao walienda na vitendea kazi vyao bila kuwakuta wahusika..

Inasemekana as vita wamechukua hotel 5 tofauti na hawakai eneo moja kwa zaidi ya masaa mawili kwa ajili ya usalama wao..ni mambo ya ajabu kabisa hata kuyaelezea lakini ndio hvyo mikia wamewekeza kwenye ndumba na fitna zaidi kuliko kusakata kabumbu uwanjani.

Mikia mnalitia aibu taifa bila kujijua, lakin pamoja na kashfa hizo za ndumba na kupuliza rungu spray kipigo chenu kipo pale pale.

Tukutane jmos taifa mida ya saa moja nitakua na jezi yangu pendwa ya kijani na njano....MUNGU IBARIKI AS YANGA VITA

Mungu ibariki team yetu pendwa ya kocha wetu mwinyi zahera

DAIMA MBELE NYUMA MWIKO

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukomandoo uko wapi hapo
Kama wanaogopa ndumba na wao wanaimani za kishirikina?
 
Kuliko kuwashabikia Vita AS ni tafadhali mkae kimya tu ili muonyeshe hekima, Vita waliofungwa mtaficha wapi nyuso zenu? Kuna wenzenu walijifanta hivyo kwa Soura na Ahly, mechi zilipoisha Jiji la Dar likapatwa na baridi, watu wakarudi nyumbani mapema.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja kati ya timu tishio na yakuogopwa barani africa AS VITA imeingia mjini kikomandoo na kuapa kutekeleza mission yao ya siri kikomandoo bila kuithiri diplomasia za nchi zetu mbili kati ya CONGO na TANZANIA..
Mapema leo as vita ilionekana kwenye hoteli moja mjini lakini baada ya wale wazee wa SPRAY na NDUMBA kupewa taarifa walipo wasakata kabumbu hao walienda na vitendea kazi vyao bila kuwakuta wahusika..

Inasemekana as vita wamechukua hotel 5 tofauti na hawakai eneo moja kwa zaidi ya masaa mawili kwa ajili ya usalama wao..ni mambo ya ajabu kabisa hata kuyaelezea lakini ndio hvyo mikia wamewekeza kwenye ndumba na fitna zaidi kuliko kusakata kabumbu uwanjani.

Mikia mnalitia aibu taifa bila kujijua, lakin pamoja na kashfa hizo za ndumba na kupuliza rungu spray kipigo chenu kipo pale pale.

Tukutane jmos taifa mida ya saa moja nitakua na jezi yangu pendwa ya kijani na njano....MUNGU IBARIKI AS YANGA VITA

Mungu ibariki team yetu pendwa ya kocha wetu mwinyi zahera

DAIMA MBELE NYUMA MWIKO

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Mikia kwa ndumba rungu spray safari hii imekula kwao
 
mkuu wewe ni Mkongo ?
 
Back
Top Bottom