Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
- Thread starter
-
- #21
Naamini Wanayanga wenzetu wa Congo hawatotuangusha kesho, Viva As Yanga Vita. [emoji1434]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ukomandoo uko wapi hapoMoja kati ya timu tishio na yakuogopwa barani africa AS VITA imeingia mjini kikomandoo na kuapa kutekeleza mission yao ya siri kikomandoo bila kuithiri diplomasia za nchi zetu mbili kati ya CONGO na TANZANIA..
Mapema leo as vita ilionekana kwenye hoteli moja mjini lakini baada ya wale wazee wa SPRAY na NDUMBA kupewa taarifa walipo wasakata kabumbu hao walienda na vitendea kazi vyao bila kuwakuta wahusika..
Inasemekana as vita wamechukua hotel 5 tofauti na hawakai eneo moja kwa zaidi ya masaa mawili kwa ajili ya usalama wao..ni mambo ya ajabu kabisa hata kuyaelezea lakini ndio hvyo mikia wamewekeza kwenye ndumba na fitna zaidi kuliko kusakata kabumbu uwanjani.
Mikia mnalitia aibu taifa bila kujijua, lakin pamoja na kashfa hizo za ndumba na kupuliza rungu spray kipigo chenu kipo pale pale.
Tukutane jmos taifa mida ya saa moja nitakua na jezi yangu pendwa ya kijani na njano....MUNGU IBARIKI AS YANGA VITA
Mungu ibariki team yetu pendwa ya kocha wetu mwinyi zahera
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]Moja kati ya timu tishio na yakuogopwa barani africa AS VITA imeingia mjini kikomandoo na kuapa kutekeleza mission yao ya siri kikomandoo bila kuithiri diplomasia za nchi zetu mbili kati ya CONGO na TANZANIA..
Mapema leo as vita ilionekana kwenye hoteli moja mjini lakini baada ya wale wazee wa SPRAY na NDUMBA kupewa taarifa walipo wasakata kabumbu hao walienda na vitendea kazi vyao bila kuwakuta wahusika..
Inasemekana as vita wamechukua hotel 5 tofauti na hawakai eneo moja kwa zaidi ya masaa mawili kwa ajili ya usalama wao..ni mambo ya ajabu kabisa hata kuyaelezea lakini ndio hvyo mikia wamewekeza kwenye ndumba na fitna zaidi kuliko kusakata kabumbu uwanjani.
Mikia mnalitia aibu taifa bila kujijua, lakin pamoja na kashfa hizo za ndumba na kupuliza rungu spray kipigo chenu kipo pale pale.
Tukutane jmos taifa mida ya saa moja nitakua na jezi yangu pendwa ya kijani na njano....MUNGU IBARIKI AS YANGA VITA
Mungu ibariki team yetu pendwa ya kocha wetu mwinyi zahera
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona yanga wamefikia lodge ya sh 3 Iringa hatusemiUshauri wangu kwa wana simba As vita wamefikia katika gesti ya kawaida sana ongeeni na Tanesco wakate umeme ule mtaa watashindwa kulala na joto hili la Dar hivyo watakuwa na uchovu wakiingia uwanjani mtajipigia tu mwazo mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Mikia kwa ndumba rungu spray safari hii imekula kwaoMoja kati ya timu tishio na yakuogopwa barani africa AS VITA imeingia mjini kikomandoo na kuapa kutekeleza mission yao ya siri kikomandoo bila kuithiri diplomasia za nchi zetu mbili kati ya CONGO na TANZANIA..
Mapema leo as vita ilionekana kwenye hoteli moja mjini lakini baada ya wale wazee wa SPRAY na NDUMBA kupewa taarifa walipo wasakata kabumbu hao walienda na vitendea kazi vyao bila kuwakuta wahusika..
Inasemekana as vita wamechukua hotel 5 tofauti na hawakai eneo moja kwa zaidi ya masaa mawili kwa ajili ya usalama wao..ni mambo ya ajabu kabisa hata kuyaelezea lakini ndio hvyo mikia wamewekeza kwenye ndumba na fitna zaidi kuliko kusakata kabumbu uwanjani.
Mikia mnalitia aibu taifa bila kujijua, lakin pamoja na kashfa hizo za ndumba na kupuliza rungu spray kipigo chenu kipo pale pale.
Tukutane jmos taifa mida ya saa moja nitakua na jezi yangu pendwa ya kijani na njano....MUNGU IBARIKI AS YANGA VITA
Mungu ibariki team yetu pendwa ya kocha wetu mwinyi zahera
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu wewe ni Mkongo ?Moja kati ya timu tishio na yakuogopwa barani africa AS VITA imeingia mjini kikomandoo na kuapa kutekeleza mission yao ya siri kikomandoo bila kuithiri diplomasia za nchi zetu mbili kati ya CONGO na TANZANIA..
Mapema leo as vita ilionekana kwenye hoteli moja mjini lakini baada ya wale wazee wa SPRAY na NDUMBA kupewa taarifa walipo wasakata kabumbu hao walienda na vitendea kazi vyao bila kuwakuta wahusika..
Inasemekana as vita wamechukua hotel 5 tofauti na hawakai eneo moja kwa zaidi ya masaa mawili kwa ajili ya usalama wao..ni mambo ya ajabu kabisa hata kuyaelezea lakini ndio hvyo mikia wamewekeza kwenye ndumba na fitna zaidi kuliko kusakata kabumbu uwanjani.
Mikia mnalitia aibu taifa bila kujijua, lakin pamoja na kashfa hizo za ndumba na kupuliza rungu spray kipigo chenu kipo pale pale.
Tukutane jmos taifa mida ya saa moja nitakua na jezi yangu pendwa ya kijani na njano....MUNGU IBARIKI AS YANGA VITA
Mungu ibariki team yetu pendwa ya kocha wetu mwinyi zahera
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila La kheri As vita.....simba kale Ka uchawi kenu Ka 250 safari hii hamtoboi nako..........nyinyi laleni makaburini vita wanalala mibuyuni j mosi mnakufa pale kwa mkapa
Sent using Jamii Forums mobile app