Mtakaa kimya Jumamosi kwa sasa endeleeni kuongeaNaamini Wanayanga wenzetu wa Congo hawatotuangusha kesho, Viva As Yanga Vita. [emoji1434]
Sent from my iPhone using JamiiForums
😀😀😀
Shabiki damu kabisa..... hahahHapa hakuna bahati wala uganga kwa Vita tunakufa 2-0 . Yaani sisi Simba tunafungwa. Shabiki wa Simba tangu 1981 .
KILA LA KHERI WEKUNDU WA MSIMBAZI .USHINDI WENU UTATUFANYA TUINGIZE TIMU MBILI MSIMU HUJAO.
mechi ya kesho itakuwa ngumu sana, ila SIMBA itashinda 1-0
Tupo pamojaaKila la kheri Ac Vita aisee
Mimi kama mkongo man lazima niiombee timu ya nyumban ushindi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tetesi AS Vita yahaidi kufanya mauwaji ya genocide ya karne uwanja wa taifa bila kushtukiziwa,
Naamini Wanayanga wenzetu wa Congo hawatotuangusha kesho, Viva As Yanga Vita. [emoji1434]
Sent from my iPhone using JamiiForums