AS Vita waingia mjini kikomando

AS Vita waingia mjini kikomando

Mungu ibariki Africa.
SIMBA hakika atashinda Njaa!
Mungu ibariki AS YANGA Vita!

Broh ujue sikuelewi? Ushabiki wa Yanga umeanza lini?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuwa mchawi sio lazima utembee na matunguli, kuwa na fikra kama zako tu, zinatosha kukuelezea haiba yako!
Inamaana hujui Simba ikifanya vizuri mwakani nchi yetu itaongeza wawakilishi automatic?
Nimeamini kuwa KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA HAKUJAWA SULUHISHO LA UJINGA!

Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeeeh hilo hatujali sisi kwanza manara kasema hataki tuishangirie simba.....yanga wote tunashangiria As vita .....ba mutu ba congo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu ibariki AS YANGA VITA CLUB! In Sha Allah ntaingia uwanjani mapema saa 3 Asubuhi!

QUOTE="Nifah, post: 30746201, member: 207619"]Naamini Wanayanga wenzetu wa Congo hawatotuangusha kesho, Viva As Yanga Vita.
emoji1434.png



Sent from my iPhone using JamiiForums[/QUOTE]
Broh ujue sikuelewi? Ushabiki wa Yanga umeanza lini?


Sent from my iPhone using JamiiForums
hii ni timu YETU!
 
Ushauri wangu kwa wana simba As vita wamefikia katika gesti ya kawaida sana ongeeni na Tanesco wakate umeme ule mtaa watashindwa kulala na joto hili la Dar hivyo watakuwa na uchovu wakiingia uwanjani mtajipigia tu mwazo mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukose umeme kwa ajili ya mambo yasiyotuhusu aah hiyo hapana
 
Sasa timu inamiliki iPhone X unafananishaje timu inayomiliki tekino ya elfu 70 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Kila la heri chama la wana AS VITA .... piga hao wamiliki tecno za 70,000


Sent using Jamii Forums mobile app from my iPhone 5s
 
Back
Top Bottom