Asafiri Iringa kuja Dar kumtafuta Harmorappa, adai ni ndugu yake

Asafiri Iringa kuja Dar kumtafuta Harmorappa, adai ni ndugu yake

Inaelekea wanaofanana na harmorapa wako wengi nashauri madam rita badala ya bongo star search, aweke harmorapa star search [emoji16] [emoji16]
 
ⓜⓛⓔⓣⓐ ⓜⓐⓐⓐⓐⓓⓐ ⓤⓝⓐⓩⓘⓝⓖⓤⓐ
 
mbona mm nafana na Ray vanny kila kitu lakini nimetulia au mm ndio sijagundua fursa
 
Back
Top Bottom