Asafiri Tabora Hadi Mbeya kunywa maji kikombe kimoja na kurudi Tabora kesho yake

Asafiri Tabora Hadi Mbeya kunywa maji kikombe kimoja na kurudi Tabora kesho yake

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
BASI LEO NIWA FURAHISHE WAKAGUZI WA FACEBOOK MAANA NIMECHOKA NA TABIA YAO YA KUNYAMAZISHA POST ZANGU😀😀.

Mimi na mpenzi wangu tulikuwa tuna wasiliana kwa video call kwenye whatsapp jana aliniambia kuwa ana hamu ya kuniona ana kwa ana Kwamba ananihitaji sana niwepo kando yake.

“nili muliza vipi kuhusu wazazi wako?
"alinijibu wamesafiri sasa hivi..tafadhali njoo mpenzi wangu," alisema.

Uhusiano wetu ni wa umbali sana, Anaishi Mbeya na mimi ninaishi Kanyenye Tabora

Kwa sababu ninahamu ya kupata ilekitu nikajisemea lazima niende , nilikopa pesa haraka kutoka kwa mama yangu kisha nikapanda A.N kuelekea Mbeya mjini., Ilikuwa ni safari ya zaidi ya masaa kumi na moja.🚌

Nilipofika pale, alinipa maji ya kunywa kwa sababu nilikuwa natokwa jasho sana.

.“Naomba, tuanze hii kitu haraka kwasababu naondoka na basi la usiku” nilisema mara moja huku nikinywa maji yale na kumaliza.

Alipokuwa anakuja kunilaki, tulisikia kishindo mtu anagonga mlangoni.

“Fungua mlango” ilikuwa ni sauti kutoka kwa mama yake.

Wazazi wake walirudi nyumbani kwa sababu waliamua kusafiri siku nyingine baada ya kufika stendi na kuona watu wengi wamesimama, wakisubiri mgomo wa madereva uishe.

Mpenzi wangu kisha akaniambia nitoke nje ya nyumba yao kisiri kupitia mlango wa nyuma.

Nilirudi nyumbani bila kufanya nilichoenda kufanya.Hata busu tu, sikuweza kupata.

Mpaka sasa, bado siamini kwamba nilisafiri kwenda Mbeya kunywa maji.

Kweli, siamini kabisa.. Lakini sijui jinsi kuzuia machozi yanavyolegea kutoka machoni mwangu...😭😢😓👇🏻
FB_IMG_16636127444488153.jpg
 
Back
Top Bottom