tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Mavi yenu,mtafanya nini wewe unaweza kutapika mtu?Afande alli wa Ifunda umeshajulikana, akipotea huyo utamtapika
Kenge nyie apotee mara ,ngapi?***** huyu akipotea,afande Ally wa Ifunda na wenzako mtatuambia alipo, msiposema nitakuwa tayari kuchangia kuwashughulikia watekaji
Kenge nyie apotee mara ,ngapi***** huyu akipotea,afande Ally wa Ifunda na wenzako mtatuambia alipo, msiposema nitakuwa tayari kuchangia kuwashughulikia watekaji
Wenzako na nani,ujinga tu!!Huu ujinga kabisa badala kupigana unakubali kutekwa halafu kesha mnaanza kusema "free ...."
Watu wanaotii sheria na wanaotekwa hawarudi kwanini uwe mnyonge kiasi hicho?!
Wenzangu mnafikiri vipi?
Kachukuliwa kama kuku mwanaume huwezi kwenda kiboya hivyo bora ufie kwenye eneo lakoAmechukuliwa au ametekwa?
Unamuagiza nani afike wakati wewe ndiyo umeongea naemijitu mingine ni mitaahira kabisa na mtaisha msipokuwa makini kwa kutegemea mitandaoAsajile Mwanjala amechukuliwa usiku wa jana Kijiji cha Ihemi kata ya Mgama, Nimeongea nae amechukuliwa na Afande Ally polisi wa kituo cha ifunda na Afande Razaro Polisi wa Iringa mjini. Fikeni hapo kituoni Ifunda haraka.
View attachment 3493231
Tatizo wanawaua, tusipoamka, tutauawa wote. Hawa watu hamjawasikia wakiongea juzi kwenye clip inayotembea, yaani wanafurahia kuua na kupoteza watu.Waendelee kuwakamata, mwisho wa siku huko wanakopelekwa watakuwa wengi mpk wataanza kuongea huko huko.
Muamke na nani?Tatizo wanawaua, tusipoamka, tutauawa wote. Hawa watu hamjawasikia wakiongea juzi kwenye clip inayotembea, yaani wanafurahia kuua na kupoteza watu.
Wewe mtekaji tuliza hayo makalio yako, hujui lolote, wewe subiria tu. Hao mabwana zako akina Mafwele, Muliro na huyo Samia wako hawataweza kukutetea utakapofika muda, mbwa na mshenzi mkubwa wewe.Muamke na nani?
Zamu ya baba yako au basha lako ikifika usisahau kututaarifuKachukuliwa kama kuku mwanaume huwezi kwenda kiboya hivyo bora ufie kwenye eneo lako