fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Ana digirii ya sanaaLazima ajue coz, niliona biography yake amesomea Mambo ya Arts na music bila Shaka....
Huyu ni burnaboy mwingine
Aaah!!! Kumbe aisee jamaa ni noumah yaan spati picha ndo angekua yuko bongo huyu jamaa ni very creative kinomaLazima ajue coz, niliona biography yake amesomea Mambo ya Arts na music bila Shaka....
Huyu ni burnaboy mwingine
Ila wanaigeria wenzetu mzki wanaujua aiseeAna digirii ya sanaa
Ila wanaigeria wenzetu mzki wanaujua aisee
Noma saNa mzeeSana mingoma yao ni hatari
Kwanza nilikuwa simfahamu, ila wiki iliyopita nililazimika kufuatilia baadhi ya ngoma zake baada ya kuona zinatrend kwenye media platforms mbalimbali, nasikitika sikufanikiwa kuzipenda labda ngoja nijipe muda[emoji3]Mambo vipi wakulungwa?
Aisee huyu jamaa anajua sana aina ya mziki anaoufanya amapiano, halafu anachanganya na fuji sijui na makorokoro gani. Anajua sana kucheza na mdundo, hasa Producer wake huyu anamjulia.
Ukisikiliza ngoma kama Nzanza, Sungba Peace be Unto You, Reasons, Ototo, aisee, jamaa ni wa moto halafu kaja juzi juzi tu ila anakimbiza.
Embu mdau toa maoni yako kama unamfahamu, kama humfahamu ingia YouTube. Niko geto na playlist yake hapa nasahau shida hata kama sina hela mfukoni.View attachment 2387804View attachment 2387805
🤣🤣 daah kweLi kila mtu ana sikio laKe aisee embu katulie ukila ukishiba skiliza ngoma ya nzanza na reason pamoja na dull afu urudi hap utuambie lbda club bangers huzipendeleiKwanza nilikuwa simfahamu, ila wiki iliyopita nililazimika kufuatilia baadhi ya ngoma zake baada ya kuona zinatrend kwenye media platforms mbalimbali, nasikitika sikufanikiwa kuzipenda labda ngoja nijipe muda[emoji3]
Asake ft Burna Boy Sungbq (Rmx)Kwanza nilikuwa simfahamu, ila wiki iliyopita nililazimika kufuatilia baadhi ya ngoma zake baada ya kuona zinatrend kwenye media platforms mbalimbali, nasikitika sikufanikiwa kuzipenda labda ngoja nijipe muda[emoji3]
Dude kali hilo, nimekumbuka nimewahi lisikia ila sikujua la nani. Hata kwenye Big Brother Naija washiriki walikuwa wanapenda kuuimbaAsake ft Burna Boy Sungbq (Rmx)
Isikilize uzuri hii sina shaka utaipenda
Unajua kuna aina ya nyimbo hadi uzisikilize mara kadhaa ndio unazielewa. Leo nimejitahidi kuzipa sikio nyimbo zake kwa umakini zaidi na nimefanikiwa kuzipenda 4; Sungba, Joha, Dull na Dupe. Natumai zitaongezeka kwa kadri ninavyoendelea kusikiliza. Hii inanikumbusha nilivyochelewa kuwaelewa Omah Lay na Fireboy[emoji1787][emoji1787] daah kweLi kila mtu ana sikio laKe aisee embu katulie ukila ukishiba skiliza ngoma ya nzanza na reason pamoja na dull afu urudi hap utuambie lbda club bangers huzipendelei
Kabsa mzee yaaN kuna muda unavoiskiliza ndo unazidi kuielewa zaid na zaid mkuuUnajua kuna aina ya nyimbo hadi uzisikilize mara kadhaa ndio unazielewa. Leo nimejitahidi kuzipa sikio nyimbo zake kwa umakini zaidi na nimefanikiwa kuzipenda 4; Sungba, Joha, Dull na Dupe. Natumai zitaongezeka kwa kadri ninavyoendelea kusikiliza. Hii inanikumbusha nilivyochelewa kuwaelewa Omah Lay na Fireboy
Say "They never see me coming.. jahjahjahh.." in Asake's voice [emoji23]Mambo vipi wakulungwa?
Aisee huyu jamaa anajua sana aina ya mziki anaoufanya amapiano, halafu anachanganya na fuji sijui na makorokoro gani. Anajua sana kucheza na mdundo, hasa Producer wake huyu anamjulia.
Ukisikiliza ngoma kama Nzanza, Sungba Peace be Unto You, Reasons, Ototo, aisee, jamaa ni wa moto halafu kaja juzi juzi tu ila anakimbiza.
Embu mdau toa maoni yako kama unamfahamu, kama humfahamu ingia YouTube. Niko geto na playlist yake hapa nasahau shida hata kama sina hela mfukoni.View attachment 2387804View attachment 2387805