fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Mambo vipi wakulungwa?
Aisee huyu jamaa anajua sana aina ya mziki anaoufanya amapiano, halafu anachanganya na fuji sijui na makorokoro gani. Anajua sana kucheza na mdundo, hasa Producer wake huyu anamjulia.
Ukisikiliza ngoma kama Nzanza, Sungba Peace be Unto You, Reasons, Ototo, aisee, jamaa ni wa moto halafu kaja juzi juzi tu ila anakimbiza.
Embu mdau toa maoni yako kama unamfahamu, kama humfahamu ingia YouTube. Niko geto na playlist yake hapa nasahau shida hata kama sina hela mfukoni.