Asante sana ndugu yangu insha Allah Mungu ataweka wepesi ili nami nipate nusu ya sini[emoji120]Walleykum salaam!!
Insha Allah Sheikh! Mnyazi Mungu Subhana wa taallah akujalie kheri upate binti mzuri, wa haja na aliyeishika vilivyo dini ya Mtume wetu Muhammad S.A.W.
Na ukifanikiwa kumpata mmoja, basi usisahau pia kuongeza wengine watatu kadiri Allah atakavyo kujalia afya na mali tele! Hiyo ni Sunna bila shaka.
AsanteKila la kheri...
Bahati yangu hiiNaomba nichukue fursa hii kutafuta mwanamke ambaye hakika tutafunga nae ndoa sifa mtoto wakike ni lazima awe 1)MUISLAMU
2)Awe ana shughuli zake binafsi
3)Awe na upendo wa dhati
4) Suala la umri sio sana kipaumbe changu
5)Sichagui kabila wala rangi wala mkoa anaotokea
MIMI hapa sifa zangu ni
1)Mwanaume mwenye miaka 33
2)Nafanya kazi na nimeajiriwa for more details nitamueleza
3)Nina upendo wa dhati
Karibu sana tujenge familia yenye amani na upendo
KaribuBahati yangu hii