mtetezi wa MAGU
Member
- Dec 15, 2022
- 18
- 128
Kwa wale Wasomaji wa Biblia wanaungana na mimi, Eva alifanikiwa kumshawishi Adam hata akatenda kile ambacho alikatazwa kukifanya, maneno matamu Eva (ASALI) yalimshawishi Adam kutokumtii Mwenyezi Mungu nakujikuta ameanguka dhambini.
Lakini Pia Delila alifanikiwa kumshawishi na ASALI Samson, Samsoni akasema siri zake zilizogeuka fimbo na kuondoa umaridadi wake.
Asali imetumika kumdhoofisha kamanda wa Freeman Mbowe haoni wala haambiliki kwa Madam President, haoni ugumu wa maisha, haoni deni la taifa wala haoni mfumuko wa bei! Yeye nikushukuru na kupongeza, amebakiza kusema ''Mama anaupiga mwingi''.
Hakika, ''ASALI TAMU, UKWELI UNAONEKANA HARAMU!''