Pole sanaMke wangu alinunua asali ya dawa kama lita hivi
Nilionja kidogo sasa leo naimalizia na hajui
Nimekaa sebuleni nalamba kidogo
Na hii sio mara kwanza
Mnaweje kutunza asali
Nawaza tu wale wafanyabiashara wa asali wana roho ngumu
Nimeaibika mimi na mandevu yangu
Basi itabidi utafute kitu ambacho ili kifunguke lazima uweke hela.Itafatwa huko
Me too,Asali sijawahi kuipenda. Nalambaga kwa kuivumilia nikiwa natibu kikohozi maybe. Tofauti na hapo hulilambishi asali
Too much sweetness 😛
Dah....nyie mnalambaje kwani? Mnatumia kidole? Kijiko? Uma? Msijekuwa mnajichanganya...kuuliza si ujinga 🤣 🤣🤣Me too,
katika vitu utakaa navyo sigusi ni asali, sijawahi kuipenda sijui kwanini tu..!!
Dah....asali haijawahi kumuacha mtu salama....Mke wangu alinunua asali ya dawa kama lita hivi
Nilionja kidogo sasa leo naimalizia na hajui
Nimekaa sebuleni nalamba kidogo
Na hii sio mara kwanza
Mnaweje kutunza asali
Nawaza tu wale wafanyabiashara wa asali wana roho ngumu
Nimeaibika mimi na mandevu yangu
waulize wanaopenda kuitumia, Mimi ilinikifu mapema sana..!!Dah....nyie mnalambaje kwani? Mnatumia kidole? Kijiko? Uma? Msijekuwa mnajichanganya...kuuliza si ujinga 🤣 🤣🤣
Unalambaje na kidole? Mkubwa hivyo?Dah....nyie mnalambaje kwani? Mnatumia kidole? Kijiko? Uma? Msijekuwa mnajichanganya...kuuliza si ujinga 🤣 🤣🤣
Kwanza shkamoo,Unalambaje na kidole? Mkubwa hivyo?
Unaweka kwa kijiko.. then unaendelea na kazi yako ya kulamba, ambayo kwa wengine hatuwezi kutokana na asali kuzidi utamu. Inachefua
Dah....asali inaenda na tango..nimesikia tu...🤣 🤣🤣Unalambaje na kidole? Mkubwa hivyo?
Unaweka kwa kijiko.. then unaendelea na kazi yako ya kulamba, ambayo kwa wengine hatuwezi kutokana na asali kuzidi utamu. Inachefua
Dah....chovya tango...utakuja kunishukuru hapa 🤣 🤣 🤣waulize wanaopenda kuitumia, Mimi ilinikifu mapema sana..!!