ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Mke wangu alinunua asali ya dawa kama lita hivi
Nilionja kidogo sasa leo naimalizia na hajui
Nimekaa sebuleni nalamba kidogo
Na hii sio mara kwanza
Mnaweje kutunza asali
Nawaza tu wale wafanyabiashara wa asali wana roho ngumu
Nimeaibika mimi na mandevu yangu