asali kinga halisi ya UKIMWI., NIULIZE MIMI.

asali kinga halisi ya UKIMWI., NIULIZE MIMI.

Zumbe Kimweru

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2014
Posts
340
Reaction score
27
wadau, kuna huu ushuhuda wa kweli. mzee Tibwa( c jina lake halisi) yuko kwenye ndoa miaka 27 ana watoto 8, mke wake ni mwathirika wa ukimwi lakini mzee Tibwa hana ugonjwa wowote aidha alidai kuwa mke wake alipatwa na magonjwa ya ngono kama kaswende, kisonono lakini yeye hana sababu ya yeye kuwa hana magonjwa toka mkewe agundulike mwaka 2001,anasema hukuwahi kutumia kondomu lakini hutumia asali ambayo aliombwa na baba yake atumie wakati wa tendo la ndoa ...mzee huyo akiongea kwa kujisifu kuwa vijana wengi wamepotea kutokana na kutotumia vitu vya asili ambavyo kimsingi ndio ulinzi halisi wa maisha yetu badala yake wamekuwa magwiji kuiga mambo ya magharibi wakati asali ipo ya kutosha hapa nchini. Akifafanua juu ya utumiaji asali wakati wa tendo, kabla ya yote mwaga asali ya kutosha ukeni baada ya hapo endelea na kazi ,asema hii ndio kinga yangu mpaka kesho!!! Hata hivyo hakusita kuonyesha hisia zake juu ya mwenendo wa tamaa za wanawake ambavyo mwisho wake ni kufa na ukimwi, akizungumzia kuhusu mkewe kuupata ugonjwa nikutokana kutengana na mkewe mwaka 1999 ambako kulitokana na tamaa ya mkewe juu ya tajiri na tamaa ya mali my take wataalimu zindukeni.
 
Mmmm...
Nimwagie asali Manzi kisha nimlale huku najua ni mwathirika?
Ngumu kumesa.
 
Mkuu,

Ni asali ya nyuki wadogo au wale wa kawaida?
 
Unajitumbukiza kwenye bwawa la mamba eti kisa unajua kuogelea?
 
now si mpaka huyo mwanamke akuruhusu sio?
 
imani za kinjekitile ngwale na risasi za 'maji' za wejeremani..
 
Back
Top Bottom