Asali na kisukari

Asali na kisukari

Kama niliwahi kusikia kuwa anaruhusiwa kula ila wana aina flani ya sukari hawaruhusiwi kula.
 
inategemea na aina ya sukari na ipo kwenye level gani .. ngoja dokta waje
 
Inategemea sukari ipo kwa kiwango gani. Ila mara nyingi wanashauriwa kutumia izi natural(asali,matunda) kama mtu hana kiwango kikubwa.
 
Asanteni wakuu kwa Maelezo yenu,nitayafanyia Kazi!
 
Back
Top Bottom