asali na samli(ghee) kuuza nje.

asali na samli(ghee) kuuza nje.

akrb

Senior Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
106
Reaction score
10
habari zenu.mimi nataka kuuza asali na samli (ghee)nje ya nchi,lakini sasa sina idea kabisa na vitu hivi kabisa.naomba ushauri wenu kuhusu market nchi za nje za vitu havi.na nitapata wapi asali na samli ya high quality amabayo inahitajika huko nje.na procedure za exportation.natakuliza shukurani.
 
Back
Top Bottom