Asali ni zaidi ya utajiri

Asali ni zaidi ya utajiri

Serikali kupitia wizara zake wangeweka kikosi kazi kwa ajili ya kupambana na kero/changamoto na vikwazo kwa watu mbalimbali wanavyo kutana navyo kwenye harakati za kujenga hii nchi.

Hata kwa mwezi mara moja yaani watenge tuu kama ni juma pili ya kila mwisho wa mwezi kila taasisi/wizara/DC/RC/POLISI na wengine.

wawe huru kupokea taarifa watakayo fikishiwa na wayaangalie kwa makini wataona wapi wanapatia ama wapi wanakosea na watajua njia sahihi ni ipi.

Naaamini watapokea taarifa nzuri na muhimu kwa kuendeleza harakati za kukuza uchumi na kuweka mazingira salama kwa raia na wageni.

sio mpaka kikao kifanyike cha waziri mkuu na wafanyabiashara ili asikie kero zao, huwezi kuwasikiliza watu wote tanzania nzima.

Nawasilisha

***
 
Sijajua ni nani anaexport asali maana soko la ndani kwa kipindi hiki cha utawala wa awamu ya tano sio reliable
Niliwah pata soko UK Mwaka 2017...aisee masharti yake inabidi kwanza uwe milionea.. walinipa masharti ya kutosha
1.uwe na shamba lako mwenyewe. ..hawatak lita 30 nichukue kwako 40 nichukue kwa mwingb...wanasrma contents zinatofautiana...so wanataka iwe shamba 1... then hyo asali ipimwe contents ya maji...ikipnekana maji madogo au mengi imekula kwako

Pia na aina ya miti ilyomo shamban kwako na maua nayo wanayapima..

then usidhan wanataka lita 1000..hahaawanataka lita nyingi sana..ikifika ikiwa ina shida imekula kwako unaishia kulata stress

then wapime pia na nyuki hao..oh wengine wana asili ya sumu😏😏😏 hayo majibu niliyaacha dodoma nikanunua zangu dompo ...
 
Hiyo biashara ngumu kama kwa masharti hayo

Hii ingekuwa bonge la dili tatizo hapa nchini watumiaji wa asali ni wachache sana
 
Niliwah pata soko UK Mwaka 2017...aisee masharti yake inabidi kwanza uwe milionea.. walinipa masharti ya kutosha
1.uwe na shamba lako mwenyewe. ..hawatak lita 30 nichukue kwako 40 nichukue kwa mwingb...wanasrma contents zinatofautiana...so wanataka iwe shamba 1... then hyo asali ipimwe contents ya maji...ikipnekana maji madogo au mengi imekula kwako

Pia na aina ya miti ilyomo shamban kwako na maua nayo wanayapima..

then usidhan wanataka lita 1000..hahaawanataka lita nyingi sana..ikifika ikiwa ina shida imekula kwako unaishia kulata stress

then wapime pia na nyuki hao..oh wengine wana asili ya sumu😏😏😏 hayo majibu niliyaacha dodoma nikanunua zangu dompo ...
Duh ni hatari sana,
 
Duh ni hatari sana,

inakatisha sana tamaa..labda mjiunge muwe km 5 hv...alone au wawili ni shida...na tulipiga hesabu za haraka haraka mtaji si chini ya 100m. ila ukishafanikiwa kupeleka container 1 ww ni milionea mbali sana..kuna jank anapeleka malaysia...kitoto kimetoka kina hela had kinaumwa...nikaunganishwa nacho hakikunipa ushirikiano...!
 
hapana soko lipo sana tu hasa dar...tena ya sumbawanga ndo dili sana .kuna mchiz ana hela balaa yy anauza asali tu anaitoa sumbawanga...

Dar kuna watumiaji wazuri wa asali?

Mkuu nimeishi Dar miaka ya nyuma kwa miaka kadhaa , ila labda trend imeanza karibuni
 
inakatisha sana tamaa..labda mjiunge muwe km 5 hv...alone au wawili ni shida...na tulipiga hesabu za haraka haraka mtaji si chini ya 100m. ila ukishafanikiwa kupeleka container 1 ww ni milionea mbali sana..kuna jank anapeleka malaysia...kitoto kimetoka kina hela had kinaumwa...nikaunganishwa nacho hakikunipa ushirikiano...!
Penye nia pana njia,labda ni wakati wa sisi kuunda team za kibiashara ili tutoke hapa twende kule,
 
Nashauri wajasiriamali wawe proactive. Inawezekana sheria na kanuni zilizopo zimepitwa na wakati. Baadala ya kulalamika, wadau waorodheshe vizuizi na mapungufu katika hatua zote mpaka mzigo unaposafirishwa nje na mdau kulipwa. Itapendeza kama kutakuwa na ulinganifu na nchi nyingine za jirani.
Basi waraka kuomba mabadiliko ili kuifanya sekta 'export friendly' na kuna win-win situation ungewasilishwa serikalini au kupitia wabunge. Mbona sekta ina mdau mkubwa aliyehamasisha sana ufugaji wa nyuki ambaye kwa sasa ni waziri mkuu mstaafu.Kwa nini hamfikirii kumtumia huyu kuiinua sekta?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe watu wamesema sana si ajabu rais ndio anatatua eti changamoto za wawekezaji,hujasikia leo anasema toka 2017 wanamzungusha mwekezaji wa sukari ndo kawapa siku 7,watu wa serikali wengi ni madishi utakuta kuna visheria au vikanuni vya kipuuzi lakini wanashupalia hakuna anayehangaika kuweka mambo sawa
 
Asali ya tabora haijubaliki nje, kwa sababu ina vimelea vya tumbaku food chain ya hao wadudu wanatengeneza Asali.

Aisee ni tatizo

Sasa inakuaje maana Tabora ndio mkoa unaoongoza kwa uzalishaji wa asali
 
Serikali kupitia wizara zake wangeweka kikosi kazi kwa ajili ya kupambana na kero/changamoto na vikwazo kwa watu mbalimbali wanavyo kutana navyo kwenye harakati za kujenga hii nchi.

Hata kwa mwezi mara moja yaani watenge tuu kama ni juma pili ya kila mwisho wa mwezi kila taasisi/wizara/DC/RC/POLISI na wengine.

wawe huru kupokea taarifa watakayo fikishiwa na wayaangalie kwa makini wataona wapi wanapatia ama wapi wanakosea na watajua njia sahihi ni ipi.

Naaamini watapokea taarifa nzuri na muhimu kwa kuendeleza harakati za kukuza uchumi na kuweka mazingira salama kwa raia na wageni.

sio mpaka kikao kifanyike cha waziri mkuu na wafanyabiashara ili asikie kero zao, huwezi kuwasikiliza watu wote tanzania nzima.

Nawasilisha

***
Serikali hii??
 
Back
Top Bottom