Asali safi yenye viwango (Natural Honey) kwa jumla

kimaus

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
584
Reaction score
707
Kwa mahitaji ya Asali safi yenye ubora unaohakikiwa mbele ya mteja inapatikana. Tunauza kwa jumla, ndoo ya kilo 30(Lita 20) Tsh. 120, 000/=, kwa anayehitaji ani pm. Tunakuhakikishia ubora kwa kuipima asali mbele yako kwa vifaa vya kisasa!
 
bei sana yaani unauza lita moja 60000???
 
Sio elfu 60 ni elfu 6.
Kama unaijua bei ya Asali kwa kilo au lita unayotaka wewe basi mi nauza rahisi sana. Asali inauzwa kwa kilo tena kilo moja ni less than a litre na ni sh elfu 10.
 
1litre of honey is nearly 1. 4 kgs.
So if you buy a litre at 6k you can pack it into 400g containers and get 3 container for every litre, and each container can be sold at 5k or above depending on the market.
 
Yet unasema nauza ghali!! Umeshazowea kununua sukari gulu kwenye chupa za Konyagi barabarani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa mahitaji ya Asali safi yenye ubora unaohakikiwa mbele ya mteja inapatikana. Tunauza kwa jumla, ndoo ya kilo 30(Lita 20) Tsh. 120, 000/=, kwa anayehitaji ani pm. Tunakuhakikishia ubora kwa kuipima asali mbele yako kwa vifaa vya kisasa!
Naomba namba zako za simu
 
1litre of honey is nearly 1. 4 kgs.
So if you buy a litre at 6k you can pack it into 400g containers and get 3 container for every litre, and each container can be sold at 5k or above depending on the market.
Unauza asali ya nyuki wadogo au wakubwa
 
Namba zangu Ni 0656 058184 tuwasiliane nahitaji kununua asali kwa Bei ya jumla

Back
Top Bottom