Asali vijiko 3 vya chakula, mdalasini kijiko 1 vya chai...

Asali vijiko 3 vya chakula, mdalasini kijiko 1 vya chai...

2018

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2018
Posts
546
Reaction score
779
....Tangawizi kijiko 1 Cha chai na punje 15 za vitunguu swaumu, ni muhimu kutumia Kila siku jioni au Kila baada ya siku tatu
 
Mchanganyiko huu unapunguza uzito! Na kukufanya kuwa fresh muda wote. Kwa wanawake ambao uzito umezidi kitandani wanakuwa wavivu kubinuka na kubiringika...hii ni tiba tosha mno maana uzito unapungua huku hamu ya tendo tamu na pevu ikiongezeka.

Kwa vimbau mbau sinaushuhuda...wala wanaume ambao ni vibamia sina ushuhuda
 
Nachojua hiyo ni dawa ya mafua sugu, ukiweza ongeza na limao
 
Nachojua hiyo ni dawa ya mafua sugu, ukiweza ongeza na limao
 
Back
Top Bottom