Asante Ali Hassan Mwinyi. Hussein Mwinyi aliandaliwa, ni mwadilifu!

WanaJf
Salaam!

Chini ya uongozi wake naiona Zanzibar inayofunguka - naiona Zanzibar inayobadilika - naiona Zanzibar inayokua.
.
Nasema, Hussein Ally Hassan Mwinyi hongera sana kwa kazi na utumishi uliotukuka.

Msakila Kabende
Kakonko
Naunga mkono hoja, na kuna ushauri wangu niliompa Mama kumhusu Dr. Hussein Mwinyi kuhusiana na urais wa JMT wa 2025, iwapo sauti hii ni ya kweli Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke nimeshauri
P
 
Na hayo anayoyasema ni maendeleo huko Pemba wala hakushikii kamba ni kubovu hakuna analolipeleka.
 
Very humble guy namkubali sana ukimsikiliza ata anavyoongea unamuona anamaanisha anayoyasema Allah amuhifadhi Kaka yetu huyu.
For sure si kama Dugange Tamisemi mwaka mmoja ajali na .....
 
Tatizo watu humu jf wanatoa conclusion kwa kuona kwa macho.
Mkuu ukinielewa hapa basi utaelewa nini kinaendelea.
"Je,wewe ungekuwa Raisi utaanza kupajali kwetu ama kwenuu"
 
Naye Hussein hatakuwa na shukurani kama hataanza kumuandaa mwanaye aje kuwa rais wa bara.
 
Baba anamshsuri mtoto. Siku hizi Hussein anafika mara nyingi sana kupata ushauri wa baba yake,mara nyingi sana. Hata sasa ,as we speak,yupo pale anaongea na baba yake.
Halafu anapita barabarani na convoy kubwa ya magari ya walinzi na wapambe kuliko hata baba yake alipokuwa rais.( hii ndio gossipy information)
 
Kiukweli jamaa anajitahidi..
 
Huu wakwetu amedondokewa na dodo kwa Bahati ndo maana Hajui hili wala lile ajui ashike wapi na achie wapi
 
Sawa bibi ... si bora huyo kuliko wa kwetu ..hilo nalo kalitazameni
 
Ni kwelikabisa mwinyi alizaa na akalea 8la sio makamba na mzee nauye 🤣🤣🤣
 
Je kwanini hakumaliza chuo Muhimbili ? na je alihudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria ? ni ujinga sana kuamini viongozi ni lazima wawe watoto wa viongozi .

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Je kwanini hakumaliza chuo Muhimbili ? na je alihudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria ? ni ujinga sana kuamini viongozi ni lazima wawe watoto wa viongozi .

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Mbn hujengi hoja mkuu - kutomaliza chuo Muhimbili kunampunguzia sifa ya uadilifu kwa jamii?

Wewe umehidhuria JKT?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…