Asante Ali Hassan Mwinyi. Hussein Mwinyi aliandaliwa, ni mwadilifu!

Kiasi yuko vizuri
 
Kama waliomtangulia , huyo ni mwizi wa kura na baya zaidi kaingia madarakani kwa kumwaga damu za watu , hana chochote anachokifanya cha maana isipokuwa kuwakingia wezi wenzake kifua maana wote wanaotangazwa na CAG hakuna hata mmoja aliyempeleka mahakamani
 
Kwa sababu Zanzibar misikiti ndio mingi ijapokuwa dini ya kwanza huko ilikuwa ni Katoliki na Anglikana kabla ya uislamu
ni kweli kabisa anajaribu kutumia misikiti aonekane ni muumini lakini hii hali haimruhusu kwani damu za watu kazimwaga pamoja na wengine kuwapa vilema vya maisha , na yale waliyokubaliana na Marehemu Maalim seif hajatekeleza hata moja

Damu ya nani kamwaga acha uzushi
 
Ni kwa sababu hujaisikiliza hii clip , Sikulaumu labda na wewe umelewa asali anayokulambisha hujali mateso tunayopitia

Peleka mahakamani sio kutuletea uzandiki wako hapa usio na ushahidi wa maana ambao umethibitishwa kisheria.
 
Hata hujasikiliza , umeshupalia mapenzi kwa mwizi wa kura na muuwaji , mishipa ya koo imekutoka

Mahakamani tushapeleka kwa yule anayejuwa kuhukumu , hakimu mwadilifu , Kesi ya mwenye kudhulumiwa hairudi, na si kwa majaji hawa waliowekwa na yeye pamoja na CCM wenzake

Hivi kuna Sheria TZ , kama kuna sheria huyo mwinyi hafai kugombea uraisi hata dakika moja na hayo kayasema Balozi Ali Karume, CCM juzi hapa , mchana kweupe hadharani.

Aliposema yule CCM kidagaa , Bakari Shamte , mkapiga mpaka leo anachechemea, lakini Ali karume mnamwogopa hata kumgusa

Kesi ya nyani uipeleke kwa kima πŸ˜› πŸ˜›

Wewe unaona ni uzandiki kwa kuwa unalamba naye asali kwenye BUYU , sikulaumu
 
Jizi kubwa wewe umedhibitiwa na wenzio na mtaendelea kufungwa soana mpaka basi
 
Mbona unanikasirikia Mimi, mnyonge mpiga kura, Mwinyi hata umpigie debe vipi amejaa damu na kawekwa na Magufuli, Sheria Za uchaguzi hazimruhusu kugombea Zanzibar.

Hata hujasikiliza , umeshupalia mapenzi kwa mwizi wa kura na muuwaji , mishipa ya koo imekutoka

Mahakamani tushapeleka kwa yule anayejuwa kuhukumu , hakimu mwadilifu , Kesi ya mwenye kudhulumiwa hairudi, na si kwa majaji hawa waliowekwa na yeye pamoja na CCM wenzake

Hivi kuna Sheria TZ , kama kuna sheria huyo mwinyi hafai kugombea uraisi hata dakika moja na hayo kayasema Balozi Ali Karume, CCM juzi hapa , mchana kweupe hadharani.

Aliposema yule CCM kidagaa , Bakari Shamte , mkapiga mpaka leo anachechemea, lakini Ali karume mnamwogopa hata kumgusa

Kesi ya nyani uipeleke kwa kima πŸ˜› πŸ˜›

Wewe unaona ni uzandiki kwa kuwa unalamba naye asali kwenye BUYU , sikulaumu
 
Yaani wewe ndio unachukua mawazo ya uzao wa Mmanyema aliyekimbilia Nyasa kutoka Kivu kisha katorokea (stowaway) kwenda Zanzibar ili awe baharia?
Ali Karume awe rais Zanzibar? You can't be serious!!!
 
Sijakuambia Ali Karume awe Rais , tunaongelea sifa unazompa jizi la kura liuwaji Mwinyi na unafiki wake wa kujipeleka misikitini.
Sheria Za CCM Za uchaguzi hazimruhusu kugombea Uraisi Zanzibar

Aliwekwa na liuwaji lezanke Magufuli
 
Hakumwaga damu sbb hakuwa madarakani wkt huo
 
Huyu mwinyi Tangu akiwa waziri na jpm hajawa raisi, nishatamani sn angevaa viatu vya kikwete awe raisi wa JMT[emoji26]
 
Hongera Mzee Ali Hassan Kwa kumlea vyema mwanao Hussein anastahili kuongoza. Ni mwadilifu,anahekima kamili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…