[emoji23] [emoji23] [emoji23]asante AZAM,usiku huu nchi yetu pendwa imetulia tuliiiiiiii.
Ulivyokula 4g mwaka Jana????.....tulizana na domo lakohili hapa goli la AZAM FC a.ka CHUMA CHIKOLI MOTO
Okwi kageuka mtalii wa Jiji la Jinja.okwi aitwe haraka
Utabaki hivyohivyo kushangilia timu za wanaume. .Pigaaaa hao mbwa koko
Yap Yanga ţimu ya wanaumeUtabaki hivyohivyo kushangilia timu za wanaume. .
Azam.......Yanga timu ya waimba taarabu wa pwani....Yap Yanga ţimu ya wanaume
Jamaa kapaniki! Mtoto Idi kweli kazua balaa.........Ulivyokula 4g mwaka Jana????.....tulizana na domo lako
Hahahaha! Hivi timu yenu ni simba jike?Utabaki hivyohivyo kushangilia timu za wanaume. .
Manara ni wa timu gani? Maana ni muimbaji taarabu nguli kupita waimbaji wengine woteeAzam.......Yanga timu ya waimba taarabu wa pwani....
Sema hajui soka siyo suala la bahatiSimba haina bahati kabsa..
Wakata rufaa za FIFA wapo Kekohawakawii kukata rufaa haw mabwana,